Wallace Karia: Mimi sio Mwanachama wa Simba, mimi ni Mwanachama wa Coastal Union

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
"Mimi wala sio Mwanachama wa Simba mimi ni Mwanachama wa Coastal Union, na ile picha ni ya zamani, nilitumwa niende kwenye Simba Day kumuwakilisha kiongozi wangu wa kipindi hiko, nilivyofika pale nikapewa ile jezi nivae, lakini nilienda na nguo tofauti'.

"Mpira wa Miguu unaongozwa na viongozi ambao wanatoka kwenye klabu zao, mtu yeyote anayekuwa kwenye mpira wa miguu lazima atakuwa na klabu yake na mapenzi yake ila inatakiwa kiwango cha maadili kuwa juu kuliko ushabiki wake"
 
Kunyamaza ni busara, ni bora angekaa kimya tu, kwahiyo hapa anathibitisha ugomvi wake na mwehu mwenzake Haji Manara alichukia Coastal Union kuinamishwa na Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…