mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
"Mimi wala sio Mwanachama wa Simba mimi ni Mwanachama wa Coastal Union, na ile picha ni ya zamani, nilitumwa niende kwenye Simba Day kumuwakilisha kiongozi wangu wa kipindi hiko, nilivyofika pale nikapewa ile jezi nivae, lakini nilienda na nguo tofauti'.
"Mpira wa Miguu unaongozwa na viongozi ambao wanatoka kwenye klabu zao, mtu yeyote anayekuwa kwenye mpira wa miguu lazima atakuwa na klabu yake na mapenzi yake ila inatakiwa kiwango cha maadili kuwa juu kuliko ushabiki wake"