Rais wa TFF, Wallace Karia amesema haogopi Simba wala Yanga, bali anaziheshimu kutokana na mchango na hadhi yake katika soka la Tanzania.
Mimi siogopi Simba wala Yanga. Nawaheshimu... Nje huko wananipa heshima hizi timu... kwa sababu gani? Mimi nikifika huko rais wa Tanzania ndio iko Simba na Yanga."