Wallace Karia na Eng Hersi ndio viongozi bora wa soka kwa nchi yetu

Wallace Karia na Eng Hersi ndio viongozi bora wa soka kwa nchi yetu

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,915
Reaction score
28,284
Ukiangalia mafanikio ambayo nchi yetu imeyapata katika soka chini ya uongozi wa Karia utaona haijawahi kupata katika wakati mwingine wowote
1. Ushiriki afcon
2. kuandaa mashindano mbali mbali ya kitaifa na kimataifa e.g ChAn
3. Udhamini mzuri katika vilabu na team ya taifa
4. kusimamia maadili katika soka (alimfungia manara)
n.k

Eng Hersi ye kaipa yanga ubingwa mara 5 kaifanya kuwa Moja ya club katili sana afrika mashariki na kati
  • Makombe lundo
  • Sajili Bora kabisa
  • Mikakati ya kiuchumi iliyo kuntu
 
Uhuru umezidi au ni hizi za mkopo
 
Back
Top Bottom