Ukiangalia mafanikio ambayo nchi yetu imeyapata katika soka chini ya uongozi wa Karia utaona haijawahi kupata katika wakati mwingine wowote
1. Ushiriki afcon
2. kuandaa mashindano mbali mbali ya kitaifa na kimataifa e.g ChAn
3. Udhamini mzuri katika vilabu na team ya taifa
4. kusimamia maadili katika soka (alimfungia manara)
n.k
Eng Hersi ye kaipa yanga ubingwa mara 5 kaifanya kuwa Moja ya club katili sana afrika mashariki na kati