Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Akizungumza leo Aprili 4, 2025 katika uzinduzi wa kipaza sauti maalum (Kispika), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema:
"Mgeni maalum wa mchezo wetu wa robo fainali dhidi ya Al Masry ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Rais wa CECAFA na Rais wa TFF, Wallace Karia. Tuna kila sababu ya kumpa nafasi hii kwa kutambua mchango wake. Simba SC kufika nafasi ya sita kwa ubora Afrika ni katika uongozi wake."
Mbali na Karia, klabu hiyo pia imepanga kumwalika Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, kushuhudia mchezo huo muhimu.
"Tunafanya utaratibu wa kumwalika Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, aje kujumuika na Watanzania kuangalia mwakilishi wa nchi anavyopambana kuingia nusu fainali. Tunamwalika kwa sababu ya mchango wake katika kuhamasisha michezo na pia ajifunze maandalizi ya kimataifa kwa ajili ya kuiandaa timu yake ya Tabora United."
na kwenye derby waje pia wawashuhudie mnavyokimbia kipigo!Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Akizungumza leo Aprili 4, 2025 katika uzinduzi wa kipaza sauti maalum (Kispika), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema:
"Mgeni maalum wa mchezo wetu wa robo fainali dhidi ya Al Masry ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Rais wa CECAFA na Rais wa TFF, Wallace Karia. Tuna kila sababu ya kumpa nafasi hii kwa kutambua mchango wake. Simba SC kufika nafasi ya sita kwa ubora Afrika ni katika uongozi wake."
Mbali na Karia, klabu hiyo pia imepanga kumwalika Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, kushuhudia mchezo huo muhimu.
"Tunafanya utaratibu wa kumwalika Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, aje kujumuika na Watanzania kuangalia mwakilishi wa nchi anavyopambana kuingia nusu fainali. Tunamwalika kwa sababu ya mchango wake katika kuhamasisha michezo na pia ajifunze maandalizi ya kimataifa kwa ajili ya kuiandaa timu yake ya Tabora United."
Nyie tulieni msumali ulipoingilia ndipo utakapotokea labda mvuke kwenda Zanzibar but sio nusu fainaliRais Samia ikimpendeza amteue Paul Chacha kuwa RC wa muda wa Dar es Salaam kuanzia sasa hadi baada ya tarehe 9 ili awashughulikie wale watakaoleta viherehere kwenye shughuli isiyowahusu.
Kwani Kunguni Mliomsagia Mpaka Sasa Bado Hajaanza Kunuka Poul Chacha AnukeKwenye hiyo tarehe akuwa bado ni RC!
ππππRais Samia ikimpendeza amteue Paul Chacha kuwa RC wa muda wa Dar es Salaam kuanzia sasa hadi baada ya tarehe 9 ili awashughulikie wale watakaoleta viherehere kwenye shughuli isiyowahusu.