Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 511
- 848
yepi?View attachment 2715133
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Karia ndo Rais bora zaid wa TFF kuwahi kutokea, ubora unapimwa na mafanikio, hakuna Rais wa TFF anayefikia mafanikio ya Karia.
Kuanzia thamani ya ligi kwasasa, mafanikio ya Vilabu na Timu za Taifa katika mashindano mbalimbali, hapa nazungumzia timu za Taifa zote, vijana, wanawake, walemavu na hii Taifa Stars, Ushabiki wa soka katika nchi umekua sana, thamani na maslahi ya wachezaji hasa wazawa ambao walikuwa hawana thaman, miundombinu kama viwanja na kadhalika.
Mapungufu hayakosekani, lakini huyu mzee ana mazuri mengi kuliko mapungufu, apewe maua yake.
Sio kweli, ukiona mambo yanaenda popote ujue kiongoz wa juu ni mwajibikaji. Tuache unafiki pemben jamaa amefanya makubwa. Utaona siku akiondokaZama zimebadilika, hata ungekuwa ww ni Rais wa TFF mambo yangebadilika, aliyabadilisha Mpira wa TANZANIA ni LEO TENGA.
Yeye ndio alibadilisha sana hii ligi yetu na hata timu ya Taifa, labda kama umekuja mjini juzi.
Hakuna mtu hapo. Rais wa ukweli wa TFF atabakia daima kuwa Leodgar Chilla Tenga. Na siyo hao wanasiasa maslahi wa kulea vitambi tu.View attachment 2715133
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Karia ndo Rais bora zaid wa TFF kuwahi kutokea, ubora unapimwa na mafanikio, hakuna Rais wa TFF anayefikia mafanikio ya Karia.
Kuanzia thamani ya ligi kwasasa, mafanikio ya Vilabu na Timu za Taifa katika mashindano mbalimbali, hapa nazungumzia timu za Taifa zote, vijana, wanawake, walemavu na hii Taifa Stars, Ushabiki wa soka katika nchi umekua sana, thamani na maslahi ya wachezaji hasa wazawa ambao walikuwa hawana thaman, miundombinu kama viwanja na kadhalika.
Mapungufu hayakosekani, lakini huyu mzee ana mazuri mengi kuliko mapungufu, apewe maua yake.
Acha mihemuko naamin una elimu nzuri, usifuate mkumbo hebu tulia na tumia akili yako, simba imebebwaje na Karia?Na ndie Rais wa kwanza katika historia ya nchi yetu kuamua waziwazi bila kujali au kumuogopa mtu yeyote KUIPIGANIA SIMBA KWA KUTUMIA NAFASI YAKE. Hata marefa huwa wanasubiria maelekezo linapokuja suala la game ya Simba