Kwa upande wangu, Leodgar Chilla Tenga ndiyo rais bora wa wakati wote wa TFF mpaka sasa.
Kwanza ni kiongozi ambaye enzi za uongozi wake; hakuendekeza makundi, ubaguzi, majungu, ubadhirifu, upigaji, na siasa za uccm kama huyo Karia na mwenzake Malinzi!