MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
“ Nembo ya Mdhamimi Vodacom ni Nyekundu na haitobadilishwa kwa Timu yoyote ile na ole wake Timu yoyote ithubutu Kuibadilisha ndiyo itakuwa imejiondoa katika Ligi. Mnajifanya hampendi Rangi Nyekundu wakati hata Damu zenu ni Nyekundu na kuna baadhi hata ya Nguo Nyekundu huwa mnavaa sasa iweje katika Suala la Jezi mlete malalamiko kuwa mbadilishiwe? Huu ni Upuuzi na TFF haitoukubali kama ulivyokubaliwa huko nyuma. Na muache Unafiki kama leo mnaikwepa Nembo ya Vodacom kwakuwa tu ni Nyekundu mbona huko nyuma Kampuni ya Bia ya Kilimanjaro ilipodhamini Ligi Kuu Jezi zake mlizivaa wakati kuna mahala zilikuwa na Rangi Nyekundu na hamkulalamika sasa iweje leo iwe Nongwa kwa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom? Asiyetaka Kufuata Utaratibu na Kanuni za Ligi Kuu yetu aende akajitengenezee Ligi yake acheze mwenyewe kwa hii yangu Rangi ya Nembo ya Vodacom haitobadilishwa na itabaki kuwa ni ile ile Nyekundu tu pekee “ alinukuliwa Rais wa TFF akihojiwa na Chombo cha Habari cha Clouds fm katika Kipindi chao cha Sports Exra leo hii hii.
Safi sana Rais wa TFF Wallace Karia na endelea Kutonyoosha Baba na kuwa na Msimamo huo huo hadi tukukome.
Safi sana Rais wa TFF Wallace Karia na endelea Kutonyoosha Baba na kuwa na Msimamo huo huo hadi tukukome.