Wallace Karia: Wanaojiita Wachambuzi sijui wamesomea wapi, hawautendei haki mpira wetu

Kwahiyo hoja ya Uhasibu wa Karia inakufa sio?
Inakufaje sasa kama yeye anawanyooshea vidole wenzake wakati na yeye pia anatakiwa aende akafunge mahesabu yaSerikali huko mpira sio mahali pake kwa yeye
 
Acha kukariri wewe
Jose morinho ni kocha mkubwa duniani ila ukimpa mpira apige danadana 5 hawez
 
Wachambuzi wa Mchongo hahaha
 
Ni kweli, wachambuzi hao ni watu wenye low iq lakini ujuaji mwingi. Kila mtu anataka kujifanya mchambuzi wakati ni zero brain!!!
 
Yeye huo urais wa tff kasomea wapi?
 
Ghazwat kaka hii comment umeiona au unapita kimya kimya mtani😎
 
Ghazwat kaka hii comment umeiona au unapita kimya kimya mtani😎
Andiko lake halina maana ni la kipuuzi mno ndo maana nimeliacha lielee tu baharini, Yeye amekasirika kwa sababu nimegusa Yanga, TFF na GSM, yeye anadhani tunaweza kuwa sawa kimaoni na kimtazamo.
 
Sijawahi kupoteza muda wangu kuwasikiliza akina Eddo Kumwembe na jopo lake.
 


True
 
Anae simamia Idara ya Michezo pale WASAFI ni mtu wa hovyo sana, yani watangazaji na wachambuzi zote n'gombe tupu kasoro Ambangile, Ricardo na Eddo. Kale kanyakyusa ka JOB JOB ujuaji mwingi content zero kanataka kuongea muda wote
Kwangu Job pia ni mchambuzi mzuri na anapenda kunyoosha mambo vyema ila ninampa ushauri tu kuwa hata kama hana hulka ya HUMBLENESS kuna wakati ajizoeze kwa kuiangalia tabia ya Ambangile....

Kukosa humbleness na kupenda unnecessary "tug of wars" katika mazungumzo/majadiliano ni hulka inayowapunguzia watu wengi "credit"......

G.Ambangile is charismatic 👍

#YetzerHatov
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…