Wallet ya Remitano watoa zawadi ya $5 kwa Watanzania wanao support biashara yao

Wallet ya Remitano watoa zawadi ya $5 kwa Watanzania wanao support biashara yao

Mavurunza

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
230
Reaction score
172
Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki.

Kwa kutambua hilo Remitano wamekuja na zawadi kwa Watanzania kwa kila mtumiaji mpya utakayemualika na akakamilisha usajili hadi KYC level 2 (hapa kutahitajika kitambulisho cha NIDA, kura au leseni), wewe na rafiki yako mtapata $ 5 (USDT) kwa mgawanyo ufuatao: wewe utapata $1 na rafiki yako uliyemwalika atapata $4.
Kama ulikwisha jiunga na Remitano hii ni nafasi yako ya kujipatia $1 kwa kila utakayemualika na yeye atapata $4. Kama bado hujajiunga jiunge sasa kwa kubonyeza hapa www.remitano.net/renec/tz/join/737567
Zawadi hizi ni kwa watanzania pekee. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
normal_Remitano_More_Friends_-_More_Fun_USDT_Forum.jpg

Habari kamili.

*******
Remitano always expresses heartfelt appreciation and gratitude to users who have been loyal, trusting, and supportive of our products and services, and especially to those who have recommended our products and services to their friends.

Aside from the additional gratitude bonus 40 percent lifetime commission sent to the referrer, we also created a feature commission sharing with your friends. With this feature, you can share this reward with your beloved friends.

Remitano has many more appealing rewards to offer both the referrer and the referred in order to create a fun filled experience for you and your friends, especially from now until the end of May. Discover right now!!!

Eligibility
Open to all Remitano users in Tanzania.
Runs from May 9 to May 31st, 2022.

For each new user, you invite to Remitano during the event period, after the user has done KYC level 2 and has had first trade/first Swap/first investment , you and your friend will receive:

More Friends - More Fun

1 USDT for you
4 USDT for each of your friends.
The maximum total prize pool for the duration of the program is $5,000.

Terms & Conditions:

To be eligible for the giveaway, you and your friends must complete KYC level 2.

The maximum giveaway amount you can receive is 10 USDT (equivalent to 10 downlines). If you invite more than 10 friends, then only your friends will receive 4 USDT/person.
When you invite a new friend during the event period, your Remitano wallet and the wallet of the referred will be automatically credited 1 USDT and 4 USDT, respectively, and locked. It will be unlocked immediately after you have completed the program requirement.

During the event period, all people who were referred to Remitano will have their coins locked. However, The total prize pool of the program is only up to $5,000 and will be divided among those who complete KYC and make their first transaction the fastest. Once $5,000 prize pool have been successfully unlocked, the remaining users who have locked coins will be withdrawn immediately, and the program may be terminated before May 31st, 2022.

normal_Remitano_More_Friends_-_More_Fun_USDT_Forum.jpg
 
Ogopa Sana pesa zenye stori nyingi na pesa yakuitiwa
Usiogope mkuu. Kila kitu kipo wazi, muhimu ni kwenda kwa tahadhari. We unadhani utaibiwa vipi endapo hakuna pesa uliyowekeza?
 
Wao wanapata faida gani mpaka watoe hizo dola 5?
Crypto inataka uwe na community kubwa hasa kila pembe. Ndio maana unaona hiyo ofa ni mahsusi kwa Watanzania, sio Kenya wa Nigeria kwa kuwa huko tayari wana community ya kutosha. Hii ofa ni kutoa motisha na ina kiwango maalum kimetengwa kwa muda maalum.
 
Motisha kwa kazi gani uliyofanya? Kwamba wanagawa tu hela bure bila kufanya kazi yoyote?
anyime nikiona mambo ya kualikana alert ya Pyramid Scheme inakuja kichwani.
Nway kila la heri wote mnaopenda vya bure.
 
faida gani mpaka watoe hizo dola 5?
Hizo wallet/exchange hutumika kufanya miamala.

Hakuna muamala wa bure.

Kuna fee ambazo unalipia.

Hapo wamelenga kupata wateja wapya 1,000.

Je kila mteja mpya akifanya muamala unadhani fedha yao itakuwa haijarudi na Faida??

Dakika chache zilizopita nimefanya muamala huu.
==
1653026048634.png

===
Hizi crypto wallet ziko nyingi, hivyo kila kampuni inabuni mikakati/ mbinu za kupata watumiaji wengi zaidi, ili kuongeza kipato chao.

Fedha wanayotoa kwa members wapya iko calculated itarejeshwa vipi. Hakuna kitu cha bure kwenye biashara.
 
Kama unaamini Crypto kwa ujumla ni pyramid basi hapo sina cha kusema. Lakini kwa ujumla wallets zote zinatoa rewards kwa wewe kufanya juhudi zako kumleta mteja kwao. Na hii sio mitandaoni tu, kama ulikuwa hujui hata kwenye hardware zetu za uswahilini. Usidhani fundi anakupeleka kwenye duka fulani hivi hivi tu.
Motisha kwa kazi gani uliyofanya? Kwamba wanagawa tu hela bure bila kufanya kazi yoyote?
anyime nikiona mambo ya kualikana alert ya Pyramid Scheme inakuja kichwani.
Nway kila la heri wote mnaopenda vya bure.
 
Kama hujaverify Remitano account Yako, Kwa kutumia kitambulisho Cha taifa/NIDA au Cha mpiga, nimetengeneza video inayoelezea step by step jinsi ya kukamilisha verification
[emoji116][emoji116]
 
Me nataka nijiunge na hii, ila nataka kuuliza naeza pokea USDT KUTOKA kwenye platform nayo patia pesa, zikaingia kwenye remitano na baadae hela iingie kwenye M-PESA au TIGO PESA,?
 
Me nataka nijiunge na hii, ila nataka kuuliza naeza pokea USDT KUTOKA kwenye platform nayo patia pesa, zikaingia kwenye remitano na baadae hela iingie kwenye M-PESA au TIGO PESA,?
Ndio inawezekana.
 
Hizo wallet/exchange hutumika kufanya miamala.

Hakuna muamala wa bure.

Kuna fee ambazo unalipia.

Hapo wamelenga kupata wateja wapya 1,000.

Je kila mteja mpya akifanya muamala unadhani fedha yao itakuwa haijarudi na Faida??

Dakika chache zilizopita nimefanya muamala huu.
==
View attachment 2231334

===
Hizi crypto wallet ziko nyingi, hivyo kila kampuni inabuni mikakati/ mbinu za kupata watumiaji wengi zaidi, ili kuongeza kipato chao.

Fedha wanayotoa kwa members wapya iko calculated itarejeshwa vipi. Hakuna kitu cha bure kwenye biashara.
je, remitano kuna huduma ya kuuza na kununua cryptocurrency kupitia mawakala kama binance?
 
Back
Top Bottom