Wallpaper ya Simu yako ikoje?

Habari za jioni wana Jamvi?

Mara zote nimekuwa mpenzi wa wallpaper zilizopo kwenye simu yangu ila rafiki zangu wamekuwa wakinicheka eti nna wallpaper za kizee.

Ebu wana jamvi naombeni wallpaper kali nitambe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…