Wallpaper ya Simu yako ikoje?

Wallpaper ya Simu yako ikoje?

livafan

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
2,955
Reaction score
5,616
Habari za Jioni wanajamvi ?


UZI UMEKOMEA APO

Yakwangu hii apa [emoji116] [emoji41], wife haipendi kweli yani,

IMG_0599.JPG
 
Habari za jioni wana Jamvi?

Mara zote nimekuwa mpenzi wa wallpaper zilizopo kwenye simu yangu ila rafiki zangu wamekuwa wakinicheka eti nna wallpaper za kizee.

Ebu wana jamvi naombeni wallpaper kali nitambe.
 
Back
Top Bottom