GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baada ya Rais Museveni kuwepo katika Mkutano wake wa hadhara wa Kisiasa nchini Kwake alikumbana na adha ya makelele ya ' Kimaombi ' kutoka kwa Walokole waliokuwa wakisali karibu na Uwanja ambao na Yeye alikuwepo hivyo kusababisha kutokusikilizana ndipo akaamua kuwapa ' makavu ' yao ' mubashara ' kabisa.
Rais Museveni baada ya kuonekana amekasirishwa na makelele ya Walokole ndipo akasema hii Kauli ambayo nainukuu hapa..." Hivi hawa Walokole hivi wanavyokuwa wanapenda Kuomba kwa Kupiga Makelele waliambiwa kwamba Mwenyezi Mungu wetu ni Kiziwi kiasi kwamba hata wakiwa wanaomba au wanamwomba tu Kimoyomoyo hawezi kuwasikia na hata Kuwabariki? Mbona madhehebu mengine Waumini wao huwa wanaomba kwa nidhamu, taratibu bila fujo na makelele na bado wanabarikiwa? Kuna Mlokole mmoja labda aliwahi kwenda Mbinguni akakutana na Mungu na akagundua kuwa ni Kiziwi hivyo alivyorudi akawaambia Walokole wote kuwa wawe sasa Wanasali kwa Makelele hadi Kuwasumbua na Kuwaudhi Watu wengine? Wabadilike tafadhali! "
Shikamoo Rais Yoweri Kaguta Museveni.
Walokole nchini Tanzania mpo?
Nawasilisha.