Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
ukweli in kwamba hon. Museven ajatoa hayo maneno ila kuna clip moja ya mchekeshaji wa Uganda anajiita teacher mpamile ndio aliyemuigiza mseveni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaIla pamoja na ' Pumba ' zangu lakini bado unanifuatilia tu Mkuu 24/7 hapa JamiiForums. Your STUPIDITY is highly CERTIFIED internationally.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nikiangalia post zako unaonekana ww ni 44+
Lakini ni zuzu hatari
Huwa ana andika ya maana ila leo naona 'cha Arusha' alicho vuta kina mchanganyiko na haja kubwa.Kusema ukweli yangu nimejiunga jf sijawai kuona GENTAMYCINE umeandika jambo la maana ni pumba tu
Haya ni mambo ya rohoni sana! Kwako ni kelele lakini kwa Mungu ni manukato according to the Bible maombi ya watakatifu wake ni manukato mazuriKi ukweli makelele yanakera sana
Kwa tunaoishi mitaa ya huku Ghana, Ohio, hapa DSM mnajua jinsi wahindi wana vyotutesa na kipindi chao hiki cha diwali, yaani wanapiga mikelele usiku kucha hatulali, kibaya nashangaa ikulu ipo karibu naamini na wao lazima wanasikia hizi kelele ila wanawaachia. Swali je kuna mswahili unaweza kwenda kuishi india ukawa na uhuru wa kuabudu???Baada ya Rais Museveni kuwepo katika Mkutano wake wa hadhara wa Kisiasa nchini Kwake alikumbana na adha ya makelele ya ' Kimaombi ' kutoka kwa Walokole waliokuwa wakisali karibu na Uwanja ambao na Yeye alikuwepo hivyo kusababisha kutokusikilizana ndipo akaamua kuwapa ' makavu ' yao ' mubashara ' kabisa.
Rais Museveni baada ya kuonekana amekasirishwa na makelele ya Walokole ndipo akasema hii Kauli ambayo nainukuu hapa..." Hivi hawa Walokole hivi wanavyokuwa wanapenda Kuomba kwa Kupiga Makelele waliambiwa kwamba Mwenyezi Mungu wetu ni Kiziwi kiasi kwamba hata wakiwa wanaomba au wanamwomba tu Kimoyomoyo hawezi kuwasikia na hata Kuwabariki? Mbona madhehebu mengine Waumini wao huwa wanaomba kwa nidhamu, taratibu bila fujo na makelele na bado wanabarikiwa? Kuna Mlokole mmoja labda aliwahi kwenda Mbinguni akakutana na Mungu na akagundua kuwa ni Kiziwi hivyo alivyorudi akawaambia Walokole wote kuwa wawe sasa Wanasali kwa Makelele hadi Kuwasumbua na Kuwaudhi Watu wengine? Wabadilike tafadhali! "
Shikamoo Rais Yoweri Kaguta Museveni.
Walokole nchini Tanzania mpo?
Nawasilisha.
Bhas inatosha mkuuLink pekee niliyonayo na ambayo naweza Kukupa ni ya Kuthibitisha tu ' Wazungu ' wawili wa Saa 11 za Alfajri. Je nikupe?
Kusema ukweli mi waga sikukubali mzee dingi