Kundi la Nyani mbona ni la wafrika wote? Acha kutudhalilisha Sisi nyaniWalokole ni kundi la mwisho kabisa la wanadamu wakitoka nyani
Hahaha aah ana wivu wa kimataifa aise kamzidi nyegere๐Ana makasiriko mzoee tu huyo babes๐
Kwamba kitengo cha marketing cha walokole kinafanya kazi overtime? ๐ ๐Walokole labda kwa sababu wanajitangaza tu, mbona wengine wana visomo na mapete ya kuepusha watu na kesi, husda na chuki.
do it mamyNgoja nifanye jambo sasa hivi uniote kabisa leo๐
Mpuuze huyo Kipenzi changuHahaha aah ana wivu wa kimataifa aise kamzidi nyegere๐
The Icebreaker unabahati sanaMpuuze huyo Kipenzi changu
Tungemvunja maeneo๐The Icebreaker unabahati sana
aache wivuTungemvunja maeneo๐
Huyo Papai kila akiona uzi ambao unajadili dini zingine hua anawashwa makalio ili aingize na uislamu kwenye huo mjadala,Anzisha mada ya bata nitachangia bwashee
Kukutafutia nini mchumba au? ๐Nilimwambia ShesRise_1 anitafutie mwingine ila naona sijui kanisahau.
Na mkiachana msiniletee kesi yenu eti niwapatanishe kama mwanzo.Mpuuze huyo Kipenzi changu
Tutaendenda kwa viongozi wa dini tukishindwa tunahamia kwa viongozi wa mtaa๐Na mkiachana msiniletee kesi yenu eti niwapatanishe kama mwanzo.
Huyu hapa Mfalme zumaridiHivi mfalme zumaridi yu wapi.
Na hatutofikia uko mambo yetu/conflict tutayamaliza wenyeweTutaendenda kwa viongozi wa dini tukishindwa tunahamia kwa viongozi wa mtaa๐