KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Ukristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk.
Sasa siku za karibuni limeibuka kundi la watu wasiofikiria, wasio hoji, wenye ufinyu wa fikra, wenye kupelekeshwa kibwege kabisa na wahuni wanaojiita mitume na manabii.
Nabii akisema leo kamnyime mumeo unyumba, basi nyumbani siku hiyo mtalala mzungu wa nne.
Nabii akisema kalete mbegu, basi humo ndani hakukaliki lazima mbegu nono ipelekwe kwa nabii.
Walokole wanakonda manabii wananenepa. Kila siku ufukara unawaingia kwa kasi. Wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Walokole mnatakiwa mbatizwe kwa ubatizo wa moto wa gesi huenda ndipo akili zenu zitafunguka na kuijua kweli ambayo ni neno la Mungu.