Walokole wanautia aibu Ukristo

Shida yako unashindwa kutofautisha upentekoste na cults au wahuni. Unalazimisha wahuni au Cults wawe wapentekoste.

Na shida unadhani ulokole umeanza kwa akina Mwamposa. Ulokole au Upentekoste kwa Lugha rasmi umeingia Tanzania mwaka 1928. Na makanisa yalikuwa matanoa tu.

Kanisa la Pentecostal Holliness Association la Paul Derr ambalo baadae liliizaa TAG, pia kanisa la UMPT baadae FPCT la akina Mzee Harris Kapiga, Elim Pentecostal na Kanisa la PAG. Hayo makanisa yalianzisha upentekoste Tanzania kuanzia 1920.

Na ndio makanisa yenye misingi imara ya upentekoste mpaka leo , so achana na wasanii kipimo kiwe makanisa waanzilishi.
 
Ulokole ni cult sio dini na imetokana na unrealistic belifs za dini ya Ukristo.
Unaelewa maana ya Cult?. Cult inakuwa na kiongozi mmoja na anasikilizwa yeye pekee yake. Tatizo mnalazimisha Cult za kina Mackenzie ziwe ndio upentekoste.
 
mleta mada walikufanyia nini walokole? sio kwa mishale hiyo. lazima tunguli zako zilifunguliwa.
 
Walokole wanatakiwa wachapwe mboko
Wewe ndio unatakiwa uchapwe fimbo kwa kulzimisha uongo kuwa ukweli. Ujinga wa wachache usikutoe akili ya kutukana kundi zima.
 
Na wale wakule India nao wanazungumziwajwe? (Wahindu, wabudha, nk)
 
Makanisa yote hayafuati maandiko bali yanafuata mawazo yawachungaji na wazee wa kanisa tu
Punguza uongo wewe. Makanisa yote uliyatemebelea lini wakati wewe muislamu?. Acha utapeli.
 
Wanamtumia Yesu huyo huyo wa Wakristu, shida iko wapi? Labda useme Ukristu kwa ujumla ni biashara. Wengine wanatumia tu falsafa kukupumbaza.
 
Umeandika fact sana mkuu. sisi wakristo inapaswa kujitafakari vzr kwa hili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…