Sio dini tu, hata siasa.Sio walokole tu, iwe mkristo au muislam au Imani yoyote, mtu yeyote akishika dini kupindukia uwezo wake wa kufikiri kawaida inapungua. Mambo mengi anaanza kuyatazama kiimani zaidi wakati mambo ya kawaida kwenye maisha ya mwanadamu.
Sio walokole tu, iwe mkristo au muislam au Imani yoyote, mtu yeyote akishika dini kupindukia uwezo wake wa kufikiri kawaida inapungua. Mambo mengi anaanza kuyatazama kiimani zaidi wakati mambo ya kawaida kwenye maisha ya mwanadamu.
KUOKOKA NI LAZIMA. USIPOOKOKA NI KUANGAMIA. KUOKOKA NI KUUPATA UZIMA WA MILELE. UKIMPA BWANA YESU MAISHA YAKO UNAKUWA NA UHAKIKA WA MAISHA HAYA NA YALE YAJAYO, YA MILELE PAMOJA NA BWANA. WATU WOTE TUSEME AMEN.Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).
Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!
Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).
Sasa tunauona moto alioukimbia baba!
Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!
Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!
USISEME HUKUAMBIWA
Mkuu vipi kuhusu issue ya mleta mada kwa Mama yake kuuza Nyumba na kiwanja kisha pesa zote akapeleka kwa mchungaji,KUOKOKA NI LAZIMA. USIPOOKOKA NI KUANGAMIA. KUOKOKA NI KUUPATA UZIMA WA MILELE. UKIMPA BWANA YESU MAISHA YAKO UNAKUWA NA UHAKIKA WA MAISHA HAYA NA YALE YAJAYO, YA MILELE PAMOJA NA BWANA. WATU WOTE TUSEME AMEN.
Jesus is Lord & Savior
Kuna wengi pia wana roho mbaya na ni wanene haswa, roho mbaya haihusiani na unene au wembamba.Wengi wana roho mbaya,hata kunenepa hawanenepi!π
Kuna wengi pia wana roho mbaya na ni wanene haswa, roho mbaya haihusiani na unene au wembamba.Wengi wana roho mbaya,hata kunenepa hawanenepi!π
Bora yule alirukwa akili, wa saivi ni vichaa kabisa, wanapotezwa na the so called miujiza, "nilikuja hapa mwezi wa 12 mkesha wa vuka na chako, saivi nina nyumba tatu, biashara naenda China, na sasa na mpango wa kufungua tena manini nini" watu wanalipuka shangwe mojaaπππ mtu anatoka hapo naakili ya maombi kachanganyikiwa, ni maombi na sadaka ya kujimaliza humwambii kitu ohooo miaka inakata yeye na kanisa, mpaka msongo wa mawazo maana hapati cha kutolea ushuhuda kumbe wenzie ndumba, kazi sana, kudanga saana, kupangwa sana watoe ushuhuda ohoooHuyo alirukwa na akili