Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

Anaeishi ni dogo mmoja na mke wake . Mke wake ndie mlokole.Nadhani wana ile kusali kwa zamu kuzunguka kwa kila nyumba, na ile siku ilikuwa zamu ya kwenye mji wangu anaokaa huyo dogo.Kwa ile siku aliekuwa anajua pale ni kwangu ni yule mke tu wa dogo.
Anhaa dogo alipaswa akujulishe lakini kuwa hapo kwako Anaomba kuwe Kuna fanyika mambo kama hayo !? Hao Akili zao wanazijua wenyewe wanaweza kumshawishi wafungue kanisa πŸ€£πŸ€£πŸ˜„
 
Ndio kuna uhusiano mkubwa sana kati ya IQ ,dini na longevity ya mtu.
Dini hasa ya kislamu ina athiri IQ ya mtu kwa kiasi kikubwa,athari yake kubwa ni kuishusha IQ ya mtu(kebe et al,1890),kwa hiyo kama mtu huyu alikuwa katika project fulani automatic longevity ya project hiyo lazima ishuke,kwa case ya Tanzania tunaona chura kiziwi ana IQ ndogo kutokana na dini aliyo nayo inayoongozwa na mihemko sio matumizi ya akili,kwa hiyo longevity yake katika utawala ni fupi sana. Period
 
Naona wengi wanaponda walokole, kwa uchunguzi wangu nliofanya kwa miaka mingi, hapa duniani watu walio kwenye njia sahihi ya kwenda kwa Mungu sio wakatoliki, sio waislamu, sio wabudha, ni wakristo walokole wale wa ukweli ambao huishi maisha matakatifu ndani na nje, walio dedicate maisha yao kwenye kufunga , kuomba na kusoma biblia

Mfano mchawi mwenye macho ya rohoni akimwangalia mtu kwenye ulimwengu wa roho, hasa mlokole ataona jinsi alivyozungukwa na ulinzi wa Mungu, huyo mchawi atajua tu huyu aidha ni mlokole wa kweli, mchawi mwenzangu, au mdhambi tu

Tatizo walokole wa ukweli ambao majina yao yapo kwenye kitabu cha uzima ni wachache sana, walokole wengi aidha ni feki, au shetani amewateka bila wao kujua..wakidhani wakifa wataenda mbinguni kumbe bado kuna vitu vya shetani kwenye maisha yao ambavyo vitawazuia kwenda mbinguni.
 
Mkuu vipi kuhusu issue ya mleta mada kwa Mama yake kuuza Nyumba na kiwanja kisha pesa zote akapeleka kwa mchungaji,
hili unalizungumziaje?
hakuna ushahidi wa hilo jambo kutokea. Usimwamini mleta mada kwa haraka hivyo. Hata hivyo Biblia haifundishi mtu auze kiwanja/ nyumba yake na pesa apeleke kwa mchungaji wake. Mtu yeyote aliyeokoka huwa ana akili njema maana KUMCHA Mungu ni chanzo cha MAARIFA.

kuna visa vya watu kuuza Mali zao na kuleta fedha miguuni pa mitume. Kipindi Kanisa linaanza, wakati wa MATENDO ya mitume, unakumbuka kisa cha Anania na Safira? (hii ni wakati ule, sio sasa)
 
yeah
 
Brother, unanibishia mhanga wa ulokole?
 
Huwezi kuwa mlokole ukawa na akili timamu. Kuna siku asubuhi nilienda kwa mganga nikakuta mganga kama amechoka hivi nikamuuliza mtaalamu inakuwaje mbona kama hauko sawa? Akajibu usiku mzima alikuwa anawaganga kundi la wachungaji wa kilokole.... nilikereka sana na kusikitika pia. Bila ndumba hawa wachungaji wa kilokole ni ngumu kuwateka hadi wasomi wakubwa. Kuna daktari wangu mkongwe hospitali ya kwa Father Babu ila anajiita mtoto wa Geor Davie.. huwa nashangaa.
 
Na wewe ulienda kwa huyo Mganga kufanya nini?
 
Ndio ujue tukiwaambia issue za Mungu ni ujinga muwe mnaelewa. Mtu kweli anampenda Mungu mwenye upendo anashindwa vipi kukupenda Kwa dharura uliyokuwa nayo.
 
Kama unaenda kwa waganga bora hata huyo mlokole, wewe una shida kubwa zaidi.
 
Taadhari zinazidi kuongezeka, vijana wameonywa kuhusu kutooa masingle mothers (hapa kuna hoja) na sasa wanaonywa kuhusu walokole. Nafanya uchunguzi lakini kuna dalili za hoja ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…