Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Roho mbaya inayoukatili mwili wa muhusika/Kuna wengi pia wana roho mbaya na ni wanene haswa, roho mbaya haihusiani na unene au wembamba.
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).
Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!
Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).
Sasa tunauona moto alioukimbia baba!
Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!
Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!
USISEME HUKUAMBIWA
Ingawa Mimi pia nimeokoka lakini hoja yako ina mashiko kwa sababu ni hali halisi iliyopo kwenye jamii.Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).
Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!
Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).
Sasa tunauona moto alioukimbia baba!
Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!
Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!
USISEME HUKUAMBIWA
Hivi kwann wako Hivi ?Wengi wana roho mbaya,hata kunenepa hawanenepi!😀
Hahahaha, ila bado lawama hawakwepi maana nahisi wao ndio wamefanya Hivi watu kuwa wajinga na tegemeziNa wanaoathirika zaidi ni wanawake
Mama yangu ni wiki ya pili yuko kwa suguye anaumwa miguu eti ameenda akaombewe nimemkanya nimechoka.
Anasubiri apeane mkono wakati mwingine ukiwaza sana unaweza walaumu ccm lakini watanzania wengi hawajitambui
Kwenye medical term inaitwa "religious pychosis" or "spiritual psychosis" - mtu akifikia hatua hiyo anakua mgonjwa wa akili na inabidi apate msaada wa kitabibu (Psychological interventions ).Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).
Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!
Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).
Sasa tunauona moto alioukimbia baba!
Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!
Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!
USISEME HUKUAMBIWA
Roho mbaya zao huwa ndiyo makwazo yao!,kabla ya kupiga goti kwa mungu, samehe,weka nafsi yako safi,ndipo mwombe!,sasa wanaomba huku wakiwa na vinyongo na visasi!Hivi kwann wako Hivi ?
Na wana vinyongo kweliRoho mbaya zao huwa ndiyo makwazo yao!,kabla ya kupiga goti kwa mungu, samehe,weka nafsi yako safi,ndipo mwombe!,sasa wanaomba huku wakiwa na vinyongo na visasi!
spana wanazopigwa humu ndani si mchezo.Leo walokole watajuta..
Mlokole Echolima1 sijui leo kaenda kwenye ibada ya katikati ya week ama atakuwa kwenye vibarua vyake vya kupalilia mashamba..spana wanazopigwa humu ndani si mchezo.
Mwenyekiti nipo ninakuombea🤣🤣🤣Kuna ukweli kwa asilimia nyingi.....hawa watu wanaonena akili zao sio timamu
KUOKOKA NI LAZIMA. USIPOOKOKA NI KUANGAMIA. KUOKOKA NI KUUPATA UZIMA WA MILELE. UKIMPA BWANA YESU MAISHA YAKO UNAKUWA NA UHAKIKA WA MAISHA HAYA NA YALE YAJAYO, YA MILELE PAMOJA NA BWANA. WATU WOTE TUSEME AMEN.
Jesus is Lord & Savior
Ooh shika raba shika rabaaa 😀Mwenyekiti nipo ninakuombea🤣🤣🤣
Mambo ya rohoni kabisa hayo, walimwengu hamuwezi kuyaelewa🤣🤣Ooh shika raba shika rabaaa 😀
😂😂😂 Mnaelewa nyie na kina baba wachungaji.Mambo ya rohoni kabisa hayo, walimwengu hamuwezi kuyaelewa🤣🤣
🤣🤣🤣 tunafokeana na shetani mpaka anatubu.😂😂😂 Mnaelewa nyie na kina baba wachungaji.
Ila "baba mchungaji" daaaah anafaidi
Halafu mnamchangia hela ya kununua gari, Kisha yeye anawaombea ili mpate magari.🤣🤣🤣 tunafokeana na shetani mpaka anatubu.