YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,031
- 1,940
Sio vizuri kuikashifu imani ya mtu hasa mtu ambaye yeye hajaikashifu imani yako.Hivi walokole wamewakosea nini leo? mbona mnawanyanyasa hivi?
Hio elfu moja kwa Kshs.. ni 20,000 kwa Tshs , yeye kanunua Tshs 500, naona ni maji madogo... anawauzia wenzake Tshs 20,000.
Ila huyu Echolima1 anakshf sana imani za watu..Sio vizuri kuikashifu imani ya mtu hasa mtu ambaye yeye hajaikashifu imani yako.
Ndio unamjibu wakati amekashifu kwenye comment yake au kwenye uzi wake.Ila huyu Echolima1 anakshf sana imani za watu..
Ni kweli hata hapa mimi sija kashifu mlokole, nashangaa tu wanawashambulia hadi walokole wanapita huu uzi kama kituo cha polisi..Ndio unamjibu wakati amekashifu kwenye comment yake au kwenye uzi wake.
Umenchekesha sana Jagina, et pastor anacommand kabisa 😆😅🙌
Walokole wengi ni vichaa wa imani (ambayo hawailewi wala kuipractise sawasawa). Shemeji yangu mmoja kila kukicha anahama manabii. Alianzia kwa nabii mzee wa upako aliyekuwa akimsifia hata kuliko mume wake. Baadaye akahamia kwa nabii Mtalemwa. Hapa alikaaa sana kabla ya kubadilisha gea angani akahamia kwa nabii kiboko ya wachawi. Kiboko alipofurushwa nchini, ikabidi akimbilie kwa nabii Mwamposa ambako yupo hadi leo. Mwaka huu ukiisha kabla hajahamia kwa nabii mwingine, naomba nipigwe ban mwaka mzima.Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).
Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!
Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).
Sasa tunauona moto alioukimbia baba!
Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!
Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!
USISEME HUKUAMBIWA
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).
Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!
Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).
Sasa tunauona moto alioukimbia baba!
Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!
Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!
USISEME HUKUAMBIWA
Mkuu umemaliza kila kitu. Kuna dada yangu mmoja anasali huko kwenye makanisa ya mabati yaani ni mwendawazimu kabisa. Yupo tayari achukue pesa zote atoe sadaka, watoto walale njaa. Nadhani wale "manabii" wao huwa wanawaroga aisee!Walokole hasa wa makanisa ya mabati/majamvi au yaliyokuwa hivyo hamna kitu,bora mpagani.
Kuna dogo anaishi na mke wake kwenye kiwanja changu ananilindia. Sasa kuna kifaa nilihifadhi kwa huyo dogo nikawa nakihitaji nikafanyie kazi.
Nikamcheki dogo kwenye simu ili aniletee mahali nilipo, akasema hayupo nyumbani na mke wake simu yake imeharibika, hivyo ikabidi niende nyumbani kwake. Kufika hapo kwa dogo nikakuta wanasali (walokole kama 10 hivi)ile kijumuiya nadhani ilikuwa asubuhi. Nikapiga mahesabu kusubiri mpaka wamalize kusali nitakuwa nimechelewa kazi yangu. Nikanyata mdogo mdogo mpaka wanaposali nikakatisha ibada nikasema samahani kwa usumbufu za asubuhi, hakuna alieitikia, waliniangalia kwa hasira na dharahu, miguuni nilikuwa na vumbi. Basi mke wa dogo akawa ameniona nikamwambia anipe kifaa.
Nakiri kukosea kwa kukatisha ibada lakini kwa watu wa Mungu kweli walitakiwa wanisikilIze kwanza bila kuonyesha hasira na dharau maana pengine nilikuwa nahitaji msaada mkubwa kwao,pengine kuna ajali nahitaji msaada.
Kuna jamaa yangu tulisoma pamoja mkoa ambao ni kwao tukawa zaidi ya marafiki, ikawa ni familia kabisaDah! Hatari sana kaka
hatariKuna jamaa yangu tulisoma pamoja mkoa ambao ni kwao tukawa zaidi ya marafiki, ikawa ni familia kabisa
Tulipopata kazi Dar Jamaa akawavuta wazee wake akawajenge nyumba safi kabisa Tabata na Vitara Grand.
Akapata mchongo kwenda Canada miaka 5 kikazi……… huku nyuma wazee si WAKAOKOKA
Wakatoa sadaka Nyumba ikageuzwa kanisa, gari likawa la mchungaji
Wao wakaenda kupanga Tabata Kisukuru chumba na sebule
Kila hela wanayotumiwa wanatoa sadaka kwa mchungaji
Jamaa hana habari, siku moja nikapita mitaa ile nikaona ngoja nikawasalimie wazee wangu nakuta kanisa kubwa la mabati na nyumba imekua ya mchungaji
Nilipo jiridhisha wazee “wamechanganyikiwa na Imani” nikampigia jamaa.
Ikabidi alazimishe udhuru kurudi Bongo…….. Palikua hapatoshi wazee wamekomaa ni HAKI yao kumtolea Mungu na Mchungaji kabana
Mwisho wa siku jamaa alifanikiwa kurudisha nyumba na gari kwa mbinde na wazee wakasusa wakarudi mkoani
Ndicho kinachonikuta kwa mama yanguKuna jamaa yangu tulisoma pamoja mkoa ambao ni kwao tukawa zaidi ya marafiki, ikawa ni familia kabisa
Tulipopata kazi Dar Jamaa akawavuta wazee wake akawajenge nyumba safi kabisa Tabata na Vitara Grand.
Akapata mchongo kwenda Canada miaka 5 kikazi……… huku nyuma wazee si WAKAOKOKA
Wakatoa sadaka Nyumba ikageuzwa kanisa, gari likawa la mchungaji
Wao wakaenda kupanga Tabata Kisukuru chumba na sebule
Kila hela wanayotumiwa wanatoa sadaka kwa mchungaji
Jamaa hana habari, siku moja nikapita mitaa ile nikaona ngoja nikawasalimie wazee wangu nakuta kanisa kubwa la mabati na nyumba imekua ya mchungaji
Nilipo jiridhisha wazee “wamechanganyikiwa na Imani” nikampigia jamaa.
Ikabidi alazimishe udhuru kurudi Bongo…….. Palikua hapatoshi wazee wamekomaa ni HAKI yao kumtolea Mungu na Mchungaji kabana
Mwisho wa siku jamaa alifanikiwa kurudisha nyumba na gari kwa mbinde na wazee wakasusa wakarudi mkoani
naunga hoja ila sio wote ni shetani na uongo wake kabadilisha ukweli kuwa uongo ndio maana wanasubilia Yesu ashuke toka angani ...wakat yupo duniani anatawala na hukumu inaendelea ishara zote laakini bado ni vipofu ....