Shida ndo hiyo sasa, watu wa dini mnachagua maneno ya Mungu yakuyafata na yapi yakuyaacha wakati yote ni Maneno ya Mungu hutakiwi kuyaacha hata moja. Kusema ilikuwa kwa wakati huo inamaanisha hilo neno limepitwa na wakati haliwezi kufatwa kwa kwenye dunia ya sasa.hakuna ushahidi wa hilo jambo kutokea. Usimwamini mleta mada kwa haraka hivyo. Hata hivyo Biblia haifundishi mtu auze kiwanja/ nyumba yake na pesa apeleke kwa mchungaji wake. Mtu yeyote aliyeokoka huwa ana akili njema maana KUMCHA Mungu ni chanzo cha MAARIFA.
kuna visa vya watu kuuza Mali zao na kuleta fedha miguuni pa mitume. Kipindi Kanisa linaanza, wakati wa MATENDO ya mitume, unakumbuka kisa cha Anania na Safira? (hii ni wakati ule, sio sasa)
Manzese uwanja wa fisiKwani sasa hivi Niko wapi?
Wewe unaharibu uzi wetu..Sio walokole tu, iwe mkristo au muislam au Imani yoyote, mtu yeyote akishika dini kupindukia uwezo wake wa kufikiri kawaida inapungua. Mambo mengi anaanza kuyatazama kiimani zaidi wakati mambo ya kawaida kwenye maisha ya mwanadamu.
Ninyi mnavyokashifu Walokole Mnajifanya mnawasifia? Tulieni dawa iwaingie Wafuga Midevu na Majini nyie !,,
Mkuu nimesisitiza Imani yoyote. Ukiweka udini pembeni utanielewa.Wewe unaharibu uzi wetu..
Haya waislam tumefata nini hapa..
Naomba waislam tutoe mkuu..Mkuu nimesisitiza Imani yoyote. Ukiweka udini pembeni utanielewa.
Kwa hiyo unaumia sana sehemu gani ya mwili wako?Upo Kasulu..
Kasulu kuna uzuri wake!!!!!Upo Kasulu..
kuna ufunuo wa wakati, ama neno la wakati. kwa mfano, Kuna wakati Bwana YESU alimponya kipofu kwa kumpaka tope machoni. Je, na leo tufanye hivyo?Shida ndo hiyo sasa, watu wa dini mnachagua maneno ya Mungu yakuyafata na yapi yakuyaacha wakati yote ni Maneno ya Mungu hutakiwi kuyaacha hata moja. Kusema ilikuwa kwa wakati huo inamaanisha hilo neno limepitwa na wakati haliwezi kufatwa kwa kwenye dunia ya sasa.
Hakuna mwenye hiyo Username anajitambuaHili jambo nililijadili last week kichwani mwangu.
Kwamba wanavurugwa ndipo wanaenda kuokoka au wanavurugwa huko huko makanisani?
Mimi pia ni mlokole lakini najitambua
Hapo wametoka kwenye mahandaki...Kasulu kuna uzuri wake!!!!!
Mkuu mimi nazungumzia haya mambo ya kawaida ambayo hata sasa yanaweza kufanyika. Mambo ya kuuza mali hata wewe unaweza kufanya inawezekana. Achana na mambo ya Yesu sababu hata kwa enzi zake hamna aliewahi kufanya aliyoyafanya. Yesu si mfano wakuigwa cause yaliyosimuliwa huwezi kuyafanya wewe na hamna alieyafanya. Wewe fanya yako usimuige Yesu maana huwezi kuishi maisha yake hata kidogo, jamaa si mfano wakuigwa na wanadamu. Mnashindwa kuponya vipofu sababu mnaigiza na mnamuigiza Yesu kuponya wagonjwa wakati kiuhalisia mnadanganya watu kwa kuwauzia maji na tope.kuna ufunuo wa wakati, ama neno la wakati. kwa mfano, Kuna wakati Bwana YESU alimponya kipofu kwa kumpaka tope machoni. Je, na leo tufanye hivyo?
Kitendo cha kuwaza kununua ugomvi ndo kunawaweka kwenye kundi hilo, mtu yeyote mwenye kufikiri kawaida hutakiwi kugombana kwasababu ya dini/Imani yoyote. Mnayetofautiana kwenye lolote unamuacha aendelee na anavyoona ni sawa kwake. Nasisitiza mtu yeyote mwenye Imani kali bila kujali dini/dhehebu gani thinking capacity yake inapungua kwa kiasi kikubwa. Weka udini pembeni utanielewa. Vinginevyo uwe walewale.Naomba waislam tutoe mkuu..
Unaweza nunua ugomvi sio mda
Wewe unaita Mahandaki lakini wengine wanaita Basement!!Hapo wametoka kwenye mahandaki...
Nakazia: Dini ipo kwa ajili ya watu wenye akili ndogo na wajinga wajinga kabisa. Jichunguze tu upo kundi gani.Sio walokole tu, iwe mkristo au muislam au Imani yoyote, mtu yeyote akishika dini kupindukia uwezo wake wa kufikiri kawaida inapungua. Mambo mengi anaanza kuyatazama kiimani zaidi wakati mambo ya kawaida kwenye maisha ya mwanadamu.