TV ya NTV imelipoti leo kwamba wanasaka kiongozi wa kanisa moja kutoka Kenya alieshirikiana na mwenzie wa Uganda kurubuni na kupotosha kondo za bwana kuuza mali zao zote kwa matumaini ya kuelekea Ethiopia pamoja na familia zao ili Mungu awafungulie utajiri duniani na binguni awasamehe madhabi yao yote, wa kimtumikia kule.
Pesa zao zote na mali zingine walizouza walimkabidhi mchungaji wao aliepotea punde alivyowafikisha mpkani wa Kenya na Uganda wa Busia, hao watu wote wamekamatwa na askari wa uhamiaji wa Uganda baada ya kuwatilia mashaka.
Ndugu zanguni walokole muache ujinga mnapotoshwa na hao uchungaji njaa, utahubirie Ethiopia hali ya kua Ukristu uliaziakule karine ya 4 wewe umeupokea karne ya 18. Huo ni ujuha. Picha zaidi tembelea NTV U kama una ndugu miongoni mwao.