TV ya NTV imelipoti leo kwamba wanasaka kiongozi wa kanisa moja kutoka Kenya alie shirikiana na mwenzie wa Uganda kurubuni na kupotosha kondo za bwana kuuza mali zao zote kwa matumaini ya kuelekea Ethiopia pamoja na familia zao ili Mungu awafungulie utajiri duniani na binguni awasamehe madhabi yao yote, wa kimtumikia kule.
Pesa zao zote na mali zingine walizo uza wali mkabidhi mchungaji wao alie potea punde alivyo wafikisha mpkani wa Kenya na Uganda wa Busia, hao watu wote wame kamatwa na askari wa uhamiaji wa Uganda baada ya kuwatilia mashaka.
Ndugu zanguni walokole muache ujinga mna potoshwa na hao uchungaji njaa, utaubili je ethiopia haliyakua ukristu uliazia kule karine ya 4 wewe umeupokea karne ya 18. Huo ni ujuha. picha zaidi tembelea NTV U kama una ndugu miongoni mwao.
View attachment 2608832View attachment 2608834