Walokole zaidi ya 50 na familia zoa wakamatwa wakiingia Kenya kuelekea Ethiopia kuhubiri neno

Walokole zaidi ya 50 na familia zoa wakamatwa wakiingia Kenya kuelekea Ethiopia kuhubiri neno

TV ya NTV imelipoti leo kwamba wanasaka kiongozi wa kanisa moja kutoka Kenya alie shirikiana na mwenzie wa Uganda kurubuni na kupotosha kondo za bwana kuuza mali zao zote kwa matumaini ya kuelekea...

Kenya mna laana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa ana roho mbaya sana aisee. Sasa ndio nini sasa kuwauzisha wenzake mali zao halafu wakachukua mpunga wote kisha wakawatelekeza mpakani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah watu wanadhambi nyieee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa ana roho mbaya sana aisee. Sasa ndio nini sasa kuwauzisha wenzake mali zao halafu wakachukua mpunga wote kisha wakawatelekeza mpakani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah watu wanadhambi nyieee.
Mimi nina wasiwasi hata yule aliowauwa wafuasi na makaburi zaidi ya 100 kufukuliwa huenda nae aliwatapeli mali zao kabla ya kuwanyonga
 
TV ya NTV imelipoti leo kwamba wanasaka kiongozi wa kanisa moja kutoka Kenya alie shirikiana na mwenzie wa Uganda kurubuni na kupotosha kondo za bwana kuuza mali zao zote kwa matumaini ya kuelekea Ethiopia pamoja na familia zao ili Mungu awafungulie utajiri duniani na binguni awasamehe madhabi yao yote, wa kimtumikia kule.
Pesa zao zote na mali zingine walizo uza wali mkabidhi mchungaji wao alie potea punde alivyo wafikisha mpkani wa Kenya na Uganda wa Busia, hao watu wote wame kamatwa na askari wa uhamiaji wa Uganda baada ya kuwatilia mashaka.

Ndugu zanguni walokole muache ujinga mna potoshwa na hao uchungaji njaa, utaubili je ethiopia haliyakua ukristu uliazia kule karine ya 4 wewe umeupokea karne ya 18. Huo ni ujuha. picha zaidi tembelea NTV U kama una ndugu miongoni mwao.View attachment 2608832View attachment 2608834
Wajinga hawatoisha duniani
 
Hapo MK254 lazima atakuwa miongoni mwa hao wajinga..

Hehehe Mnafiki sana wewe, nikileta mada inayoonyesha ujuha wenu waislamu kwenye hiyo dini ya mwarabu huwa unakua wa kwanza kulia lia hadi unaita mods na wamiliki wa JF wakusaidie, ila ikiletwa uzi wa Kikristo hukawii kunitag, sijui kwanini waislamu huwa mnakua walegevu na utoto mwingi kiasi hicho.
Kama unataka ushindani wa kidini acha kuwa muoga pussy pambana. Acha kuiga uwoga wa huyo mwarabu wenu nimesoma sehemu alikua muoga sana
 
Back
Top Bottom