Walowezi watatu wa Israel wamejeruhiwa katika shambulizi la kombora la Hezbollah huko Tel Aviv

Hii vita Bado mbichi sana kama Kuna watu wanadhani itaisha kirahisi wajidanganya sana.
Kobazi mmekuwa wapole tokea auawe mandevu, hii si ndo ile hesbollah mliyo ipamba hapa jf? Mi naona hamas is making more sense kuliko hao wahuni wa Irani..
 
Tusaidie hapo kwenye idadi ya makombora ambayo hayajaguswa. Umeandika hayajaguswa 1000.0000 siyo? au ulimaanisha 10,000,000.
 
Kama.matumizi sahihi ya akili yangekuwepo, baada ya vifaa vya mawasiliano kulipuka ndugu zangu ktk Adam hizbolah wasinge endelea na vita na invisible enemy.
 
Huenda hilo likawa ndo shambulio lao la mwisho. Ground offensive imeanza kama ya Gaza, Nyau arushe tena tuone.
 
Kwahiyo mwana wa mfalme; wewe unajua zaidi uwezo wa Hezbollah kuwazidi Mossaid na IDF? Bro; that's to funny to believe it. Anyway; na wenyewe Mayahadu ndio kwaanza wameanza vita, now wameanza kwenda na askari wa miguu
 
Imagine, IDF wameua mamia ya wafuasi wa Hezbollah halafu Ritz anasifia jamaa kujeruhi wa 3
 
Hili ndio kaburi lao mazayuni nasikia wanampigia putin simu hazipatikani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…