King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Naungana na Ney wa Mitego,kiukweli walter amechoka sana sidhani kama kweli alipewa zile m 50 atakuwa amepewa kama m10 hv then 40 watu wameipiga panga noma sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naungana na Ney wa Mitego,kiukweli walter amechoka sana sidhani kama kweli alipewa zile m 50 atakuwa amepewa kama m10 hv then 40 watu wameipiga panga noma sana.
wakome...
Majibu yote walter kashawapatia, na kamjibu ney wa mitego kibusara sana
amechoka nini ?? ulitaka aishije ili ujue ana izo million 50
Fedha haijifichi kiongozi,lazima ngozi na midomo itaonekana ina umate umate lkn kwa water ni nehi...YANI NOMA SANAAA
Mbona mi nina zaidi ya hiyo mil 50 na nimechoka kuliko walter nadhani ni life sytle tu tubadilike jamani
sasa familua yake yoote imekodolea hiyo hela... unategemea nini??? lazima apigike
...vilevile zile sura 3,,, salama ,j na madam sina imani nazo kabisa.. wanapiga panga lazima.
Fedha haijifichi kiongozi,lazima ngozi na midomo itaonekana ina umate umate lkn kwa water ni nehi...YANI NOMA SANAAA
basi kama mil50 aliyoipata watu hamuioni atakuwa ni msanii mwenye akili sana...sio wale ndugu zangu wanaozunguka mikoani ivi sasa wakirudi na mil2 zao bas hatupumui batani badala ya kujenga fyucha.