Walter chilambo na mil 50 ya BSS

Walter chilambo na mil 50 ya BSS

Kero sana kupewa pesa kila mtu, yani macho watu kodo wanataka wajue km hiyo 50 m inareflect watakavyo
 
Waswahili bwana. Sasa 50mil mlitaka aagize kivitz na kufanya besdei 2 kanla hajawa muflisi?
 
Waswahili bwana. Sasa 50mil mlitaka aagize kivitz na kufanya besdei 2 kanla hajawa muflisi?

Bure ni aghali sana, bahat nasibu na hiyo bss awards majanga tu nakumbuka dogo mmoja alipata zile gari za voda-Hyndai i10 na alikuwa muuza ujugu(karanga) ilisumbua sana kila mtu anataka kumshauri kaishia kupata nacho ajali na kuuza sh 4m badala ya 12m kwa wakat ikiwa mpya
 
mil 50 si nyingi kama watu wanavyodhan kama huna source nyingine alafu ukitaka kuishi maisha ya level ya celebrity... ukinunua gari na ukianza kujenga nyumba after 3 month ela itakua imeisha umebakiwa na gari lakini nyumba haitaisha hapo ndio mziki unapoanza!!!!
 
Unaambiwa Huyo Walter Chilambo kwao wapo kama Kumi na moja hv!
Unadhan kitabak k2 dadeqiii
 
kwani mtu akiwa na mil 50 anakuwaje...anatembea na briefcase la hela?!
Hatoki jasho?!
hakanyagi chini!?
au
anafuatwa na nzi matakoni?!
 
WAPO WASANII WACHACHE HAPA BONGO WENYE AKILI ZA KUANDAA MAISHA YA BAADAYE(wenyewe mnaita ''future'')WANA VITEGA UCHUMI,NYUMBA ZA MAANA NA ACOUNT ZINASOMEKA VZR.(mf.diamond,prof j,jaydee,ay)WALTER KAMA KWELI ALPEWA ML.50 HUO NI MTAJI MZURI WA KUANZIA BIASHARA NA WATU WANGEJUA TU KUNA UTOFAUTI NA ILIVYOKUWA MWANZO.HELA HUTAKATISHA BANA!
 
Naungana na Ney wa Mitego,kiukweli walter amechoka sana sidhani kama kweli alipewa zile m 50 atakuwa amepewa kama m10 hv then 40 watu wameipiga panga noma sana.

kwani kipaji cha muziki nacho kimekwisha?
 
kwa mtaji wa m 2 unaweza ukawa unalaza kila siku efu kumi na tano sikwambii m50,ukipata m 50 alafu ukafulia huo ni ubwege
 
Mashindano yenyewe ya kuunga unga, unategemewa apewe 50m kweli?
 
Back
Top Bottom