Waluguru walio China.

Waluguru walio China.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Juzi kwenye kijiwe kimoja kariakoo ambapo huwa napata kahawa/tangawizi mara mojamoja ili kujua yanayotokea mitaani kulikuwa na mabishano makali kuhusu mapigano yaliyotokea China baina ya makabila ya Han na Uighurs. Mmoja wa wateja pale ambae ni mluguru alikua anawasikitikia sana wa-uighurs amabao yeye alidhani ni waluguru,mi wala simlaumu baada ya kusikia vituo vingi vya redio na luninga wanavyo tamka neno Uighur wanasema waurugu.
 
Back
Top Bottom