Nyalandu ni kiongozi mbovu lakini kwa hili namtetea. Nilipata kuandika 'bila kudhibiti NGOs loliondo haitawaliki'. Hii ni taarifa ya ngos za wakenya. Wanasumbua sana. Kinara wabkupost haya ni raia wa kenya aliyeajiriwa wizara ya maliasili na utalii. Tunamjua na anayetaka jina na namba yake ani-pm. Nasema, nyalandu ni waziri mbovu lakini kwa uzushi huu nitamtetea.
Wamasai ni wagumu sana kubadilika wanangatwa na nnge lakini wanaendelea kumkumbatia, watu wa ajabu sana hawapendi badiliko.mi nasema wanyanganywe hata ngombe wao ili wapate akili.
Vipi assignment ya Mollel iliisha? Sasa una angalia upande wa pili? Wewe ni noma! Dhambi za NGO na wananchi zitakutafuna.
Bado haijaisha. Stay tune! Huu ni mpango mahsusi wa kupambana na wahuni wote, hasa raia wa Kenya wanaoifanya Loliondo isitawalike. Mwambieni mama Tina asilete chokochoko za Kenya kwao. Nanyi wanafiki mnaofaidi hela za NGOs na kuisaliti nchi yenu tutawafuatilia mmoja baada ya mwingine. Mkono wa dola ni mrefu. Hautawaacha mtambe kwa ufadhili wa wageni!
usamehewe bure kwani hujui ulisemalo.
Kinachofanyika Loliondo ni zaidi ya ukoloni,kule kuna nchi nyingine ya kiarabu, wanyama wanateketezwa bila kujali kuna kesho, kunaukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, kumekua na visa vya mateso na kulawitiwa kwa wamaasai. Hakuna anaejali na mwenye sauti mbele ya mwarabu. Kunahitajika uchunguzi huru juu ya huyu mwekezaji.
napita tuuu
Kinachofanyika Loliondo ni zaidi ya ukoloni,kule kuna nchi nyingine ya kiarabu,wanyama wanateketezwa bila kujali kuna kesho,kunaukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,kumekua na visa vya mateso na kulawitiwa kwa wamaasai.Hakuna anaejali na mwenye sauti mbele ya mwarabu.Kunahitajika uchunguzi huru juu ya huyu mwekezaji.
Wacha uongo wewe.mmasai gani kalawitiwa ?
Wamasai ni sawa na makabila mengine Tz .mtwara wakihamishwa ardhi yao kuleta bomba la gesi ni sawa na wamasai kuondoka ili kuiboresha ardhi wanayo iharibu kwa ufugaji wao ulopitwa na wakati.
Wamasai wabadilike na wasikubali kutumiwa na vikaragosi kutoka nje.
Nchi imepewa ardhi na maliasili lazima zitumike kuleta maendeleo ikibidi hata wamasai wote wahame poa tu hakuna ardhi ya asili hapa