Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kweli ulikuwepo huo ugomvi na hata sasa na issue yenyewe ilikuwa zamani kulikuwepo na Mangi wa Kibosho na wa wamachame na walikuwa marafiki sana mpaka wakawa wanaalikana kwenye sherehe mpaka kusaidiana kwenye vita.Siku moja Mangi wa Kibosho akaona wivu kwani machame kulikuwa na vijana wakiume handsome na wenye nguvu.Akkaandaa sherehe akawaalika wakaenda mpaka kibosho(note kibosho na machame imetenganishwa na mto)so wakaenda akawauwa wote.Tangu wakati huo wamachame wakaweka viapo kwa vitu vifuatavyo:-
Nitaendelea...........................
- Hatutakubali wasichana wetu kuolewa na mkibosho
- Nyumba zote mlango wa kuingilia usiangalie upande wa magharibi kwani ndiko upande wa wakibosho

Ya 18 mbona cha mtoto kuna mambo ya bc yanaongelewa mpaka leo mashuleni kwamba baba yako zamani b.c alikuwa ngedere.,na ukajibu vizuri ukapewa tick.Unazungunza mambo ya karne ya 18.
Ya 18 mbona cha mtoto kuna mambo ya bc yanaongelewa mpaka leo mashuleni kwamba baba yako zamani b.c alikuwa ngedere.,na ukajibu vizuri ukapewa tick.
Sasa MDAU, kama serkal nayo itajenga ''Li-UDOM'' Moshi, Dodoma atajenga nani? Tusianze kubishana ujinga. Tuwaache wachaga na mishe zao kweli private wanawekeza sana uko uchagani kuliko ujiji au bahi. Kikubwa ni elimu sio Uprivate au Ugovrnment... Simpo.
Malemq unataka huruma
Malemq unataka huruma
Mkuu umesahau: Mushi, Sawe,Lyatuu, Kweka, Muro, na Mboro!
Malemq unataka huruma
umeeleweka sana tu, ila wewe ni mwongo Iringa haina chuo kikuu kamili hata kimoja kama unavyojaribu kuwadanganya wana jf. kuna vyuo vikuu vishiriki vitatu tu! soma hapa chini walau upate maujanja ya kudanganya wajinga wenzio na si jf.Hukunielewa,
Mkoa wa Iringa sasa una university 2,
moja ina Branch huko Moshi.
Sijaona Branch ya University toka Machame mkoa wowote ule.
Ugomvi wa wa kibosho na wa machame ulikuwepo lakini sababu sio hii uliosema mkuu.Ishu ilianzia pale wamachame walipowashinfa wakibosho kwenye vita na ikaamriwa wakibosho wawe wanapeleka vitu kama mazao,mifugo na vitu vingine kwa wamachame na ili kuhakikisha hilo Sina akapelekwa kuishi machame kuhakikisha wakibosho wanatimiza masharti,kumbuka Sina alikuwa mtoto wa mangi wa kibosho na Sina alilipata baada ya kufika machame baada ya kuwa anapewa sana mifupa,kama wewe ni mchagga unajua maana ya kusina.
Tuendelee,baada ya Baba wa Sina kufariki Sina ndie alitakiwa kuwa Mangi so ikabidi Wamachame wamuachie akarudi Kibosho.Kutokana treatment aliyopata akiwa Machame akapanga kurudisha kisasi,alijipanga kwa muda mrefu alipokuwa tayari akawaita Wamachame kwenda kubeba vitu vyao Kibosho,kabla ya hapo utaratibu Wakibosho walikuwa wanapeleka wao.Wanaume wa kimachame pamoja na vijana wakaenda kibosho ,walipofika wakaambiwa kabla ya kubeba tumewaandalia sherehe kwa hiyo tunywe tusherehekee mwaka huu kibosho tumepata vitu vingi(mifugo na mazao)wakati huo jeshi la wakibosho likaenda kuwasubiri kwenye huo mto uliosema.Wakati wa kuondoka wale wamachame waliuwawa wote na huo mto ulitiririsha damu sio maji.Kumbuka umachameni waliondoka wanaume wote wenye nguvu na vijana wakabaki akina mama na watoto ambalo liliibua swala la akina mama wa kimachame kuwa na nguvu kuliko akina baba,mengine ni kweli la kutojenga nyumba kuelekea kibosho pamoja na kuooleana lakini yalishaisha.Mimi ni mkibosho
Acha uongo wa kukaririshwa wa kizamani.Ndio kweli ulikuwepo huo ugomvi na hata sasa na issue yenyewe ilikuwa zamani kulikuwepo na Mangi wa Kibosho na wa wamachame na walikuwa marafiki sana mpaka wakawa wanaalikana kwenye sherehe mpaka kusaidiana kwenye vita.Siku moja Mangi wa Kibosho akaona wivu kwani machame kulikuwa na vijana wakiume handsome na wenye nguvu.Akkaandaa sherehe akawaalika wakaenda mpaka kibosho(note kibosho na machame imetenganishwa na mto)so wakaenda akawauwa wote.Tangu wakati huo wamachame wakaweka viapo kwa vitu vifuatavyo:-
Nitaendelea...........................
- Hatutakubali wasichana wetu kuolewa na mkibosho
- Nyumba zote mlango wa kuingilia usiangalie upande wa magharibi kwani ndiko upande wa wakibosho