Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.
Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..
Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago,
Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20
Kuna shule nyingi zina chini ya wanafunzi 15.
Niliyosoma mimi ina chini ya wanafunzi 18
Na population ya Machame ilikuwa kubwa sana tofaut na sasa( nimetoka huko juzi)
Najiuliza shida nini sikuizi?
Naangalia shule za wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine kama Shinyanga, Kahama, Dodoma, Geita, Singida na Dar mpaka Pwani watoto kwa darasa ni zaidi ya 80 kuendelea..
Tumesusa shule za umma au. Ni uzazi wa mpango?