2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Duniani kuna leo na kesho hili halitobadilika, na hakuna anaejua hata dk 1 mbele yake kitatokea nini.
Wamachinga kupitia JPM walipewa uhuru wa kutosha kabisa, hadi ukawalevywa wakawa kama ndio wenye nchi, wana haki zote, wao waliamua wafunge barabara ili wafanye shughuli zao, kama una gari itabidi ulibebe juu mgongoni ili uvuke biashara zao.
Mtetezi wa wanyonge kashatangulia, sasa mimi nina uliza: je, kipindi chote uhuru wa kufanya biashara wametengeneza ajira ngapi?
Kipindi mashine za EFD zinakuja TRA ilisema kila mfanyabiashara ni lazma atumie, labda mauzo yako yawe chini ya 40,000/= (elfu arobaini tu). Kama hukufanikiwa kujiongeza unaamini upewe muda gani ili utoke rod?