Wamachinga a.k.a Wanyonge mmezalisha ajira ngapi toka 2015?

Wamachinga a.k.a Wanyonge mmezalisha ajira ngapi toka 2015?

ndio hao wanaoamua kwenye sanduku nani awe rais ama mbunge maana ni wengi mno pamoja na kaka zao boda boda.

ni rahisi sana kudeal na shida zao maan impact ya maamuzi yako kwao inaonekana mara moja,tofauti na hawa wengine ambao ni mtaji kwa chadema na ccm ya 2015.

kosa kubwa ni pale tunapoamua kutatua changamoto zao kwa kuwatizama kama watu duni kabisa wasio na upeo wa kufikiri,utawala wa sasa imabidi utoe maamuzi juu yao kwa kuzingatia pande zote mbili.
wapelekwe kwenye maeneo yaliyoandaliwa mfano machinga pale.
 
Waacheni tu wakae barabarani kwa sababu tumeamua kuwa taifa la wachuuzi wa bidhaa za Wachina
 
Chadema nyie ni wapumbavu Sana na hamna jema na nchi yetu ya Tanzania. Nyie kila kitu mnaona kinaenda vibaya
Chadema imehusikaje hapa?? Kwa akili hii tuna safari ndefu sana mbele
 
Wamachinga na wafanyabiashara wadogo walijiona ndo wenye nchi wakakataa masoko yaliyojengwa kwa gharama kubwa, wakajenga na kuzijaza barabara...

Washauri wakaishauri serikali ila hapakaua na hatua yoyote... Wamachinga wakavimbia wakuu wa mikoa na askari live kabisaa... Wakuu wa wilaya wakawaabudu

ILA WAKASEMA IPO SIKU NA SIKU ZIMEKARIBIA....
 
Back
Top Bottom