Wamachinga Kahama waonja "Joto ya jiwe" ya Polisi na Mgambo sambamba na Mkurugenzi wa Halmashauri

Wamachinga Kahama waonja "Joto ya jiwe" ya Polisi na Mgambo sambamba na Mkurugenzi wa Halmashauri

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
"Wakati mnaendelea na mijadala mingine nawafahamisha kwamba Mkurugenzi wa Kahama Anderson Msumba akiwa na Polisi & Mgambo wamewavamia wafanyabiasha wa Kahama na kuwapiga virungu kisha wameiba bidhaa za Wafanyabiasha hao kwa madai kuwa wanafanya biashara maeneo ambayo sio sahihi."- Hilda Newton

Kuna Mama mmoja alisikika akinena baada ya kushiba urojo, viazi mbatata na juisi ya miwa "Mimi na mwendazake ni wale wale, tofauti yetu ni jinsia tu, msini dharau kisa mimi ni mwanamke, zege hailali, kazi iendelee, na nawaahidi mimi ni muendelezo wake mwendazake".

Jopo la wateja waliokua pale kilingeni walicheka sana kana kwamba ni kichekesho.

#Ama kweli Kazi Inaendelea.
 
Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.

Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
 
Hakuna namna mpaka sisi wenyewe watanzania tuamue kubadilika hapo tutongea lugha moja
 
Toka lini cdm mmeanza kutetea wamachinga? Nyie tunajua ni watetezi wa mabeberu!

Kwa unafiki mumo sana. Hilo kama limetokea litamalizwa tu lakini sio kete ya cdm kujipenyeza.

Cdm mmeshatuonyesha rangi zenu halisi endeleeni kuvuna mlichopanga. Juzi juzi tu hapa kutwa kumchamba aliyekua mtetezi wa wanyonge na kuwakebehi hao hao wamachinga waliokuwa wanamlilia! Mlifika mbali mpaka mkafikia kutukana kabila la wasukuma, haya cdm ngoja tuone.
 
Mupe........Muruke..........
😆😅😄😃😃😂😁😁😀😀😅😅😄
Hawa Msiwabomoleshe......Wale Wabolewe Hakuna Fidia.
 
Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.

Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
Kodi yake wataiweza? Kwa nini kama ndivyo wasipange tu kwenye frem badala ya kuwajengea reserve ya barabara?
 
Kodi yake wataiweza? Kwa nini kama ndivyo wasipange tu kwenye frem badala ya kuwajengea reserve ya barabara?
Ni ubunifu tu, watatu au wanne wanaweza kuchukua frame moja ndani wakakata na ceiling board mradi kula mtu ana nafasi ya dirisha kwaajili ya wateja. Inategemea na ukubwa wa duka.
 
Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.

Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
Wanayo mawazo hayo Basi?
 
Mbona hatujaona wafanyabiashara wakipigwa virungu!!?

Sio sahihi kufanya biashara juu ya mtaro wa maji machafu.

kama CDM ndio chama mbadala tarajiwa.

hakika hakuna chama hapa.
 
Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.

Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
'Mazoea hujenga tabia'

Machinga wameshazoea kupanga bidhaa miguuni mwa wapita njia, hata wakijengewa hayo majengo hawataenda huko kwa hiari.

Hawa wanatakiwa kufuata sheria zilizoko kama raia wengine.

Huku kudekezwa kwa kisingizio cha unyonge ni kuandaa kizazi korofi kisichotii sheria, kanuni wala taratibu za nchi jambo ambalo litakuwa hatari kama ilivyo sasa huko A. Kusini.
 
'Mazoea hujenga tabia'
Machinga wameshazoea kupanga bidhaa miguuni mwa wapita njia, hata wakijengewa hayo maghorofa hawataenda huko kwa hiari.

Hawa wanatakiwa kufuata sheria zilizoko kama raia wengine.
Huku kudekezwa kwa kisingizio cha unyonge ni kuandaa kizazi korofi kisichotii kanuni na utaratibu wa nchi.
Haya mazoea ndiyo yamenidanya nirudie kumtumia mama yangu pesa kwa bank transactions
 
Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.

Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
Idea nzuri hii mkuu, kwasababu inaonakana si rahisi kuwalazimisha waende kwenye hayo masoko yalijengwa kwa sababu mbali mbali. Basi ni bora njia hiyo itumike itakua poa sana.
 
Back
Top Bottom