Wamachinga Kahama waonja "Joto ya jiwe" ya Polisi na Mgambo sambamba na Mkurugenzi wa Halmashauri

Wamachinga Kahama waonja "Joto ya jiwe" ya Polisi na Mgambo sambamba na Mkurugenzi wa Halmashauri

Hilda Newton anataka WAMACHINGA wafanye biashara mpaka nje ya IKULU.....wafanye biashara mpaka nje ya mageti ya HOSPITALI....

Siasa koko kabisa.....
 
Ndugu uko sahihi laini hii haimanishi wazibe njia za waenda kwa miguu,ngazi za kupandia zimejaa wao,barabara(ndani ya barabara),kwani uko mkoa gani mwenzetu inawezekana huko kero za hawa hazipo?
Hizo fujo ndizo zinamfanya kila mmoja akimbilie jijini kwani anaweza fanya biashara popote,kuna watu nilikuwa nawaambia kama umeshindwa kufanya bishara hizi ndogo ndogo kipindi cha JPM basi hutaweza.Ni ruksa,ukienda posta mbele ya ofisi za watu mama ntilie kibao,pale Mwanza maeneo ya miti mirefu kuna sehemu fence za watu zimezibwa na vibanda wameachiwa gate tu la kuingilia na kutoka hata hiyo fence haina maana.
😍
 
Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.

Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
Leo umetoa point sana. Sina hakika kama waliopo wanaweza kufanya mambo mazuri kama haya ya kutumia wataalam na utaalam wa ndani kutatua kero za jamii. Ngoja tuone, hongera kwa wazo murua.
 
Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.

Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
Mvomero walijengewa banda kando ya barabara wakalikataa wakarudi barabarani wanakimbizana na magari, labda banda hilo liwe na magurudumu na uwezo wa kukimbizana na wateja!
 
Back
Top Bottom