Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kodi yake wataiweza? Kwa nini kama ndivyo wasipange tu kwenye frem badala ya kuwajengea reserve ya barabara?Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.
Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
Ni ubunifu tu, watatu au wanne wanaweza kuchukua frame moja ndani wakakata na ceiling board mradi kula mtu ana nafasi ya dirisha kwaajili ya wateja. Inategemea na ukubwa wa duka.Kodi yake wataiweza? Kwa nini kama ndivyo wasipange tu kwenye frem badala ya kuwajengea reserve ya barabara?
Wanayo mawazo hayo Basi?Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.
Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
'Mazoea hujenga tabia'Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.
Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.
Haya mazoea ndiyo yamenidanya nirudie kumtumia mama yangu pesa kwa bank transactions'Mazoea hujenga tabia'
Machinga wameshazoea kupanga bidhaa miguuni mwa wapita njia, hata wakijengewa hayo maghorofa hawataenda huko kwa hiari.
Hawa wanatakiwa kufuata sheria zilizoko kama raia wengine.
Huku kudekezwa kwa kisingizio cha unyonge ni kuandaa kizazi korofi kisichotii kanuni na utaratibu wa nchi.
Idea nzuri hii mkuu, kwasababu inaonakana si rahisi kuwalazimisha waende kwenye hayo masoko yalijengwa kwa sababu mbali mbali. Basi ni bora njia hiyo itumike itakua poa sana.Wanafunzi wa chuo cha Ardhi wanaweza kupewa project ya kubuni majengo kando ya barabara kuu. Halmashauri ziyajenge na kupangisha Wamachinga.
Mji utakua msafi, watauza bidhaa kwa heshima na hawataki na adha za mvua na jua.