Ndugu uko sahihi laini hii haimanishi wazibe njia za waenda kwa miguu,ngazi za kupandia zimejaa wao,barabara(ndani ya barabara),kwani uko mkoa gani mwenzetu inawezekana huko kero za hawa hazipo?
Hizo fujo ndizo zinamfanya kila mmoja akimbilie jijini kwani anaweza fanya biashara popote,kuna watu nilikuwa nawaambia kama umeshindwa kufanya bishara hizi ndogo ndogo kipindi cha JPM basi hutaweza.Ni ruksa,ukienda posta mbele ya ofisi za watu mama ntilie kibao,pale Mwanza maeneo ya miti mirefu kuna sehemu fence za watu zimezibwa na vibanda wameachiwa gate tu la kuingilia na kutoka hata hiyo fence haina maana.