Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Utakuta nae anawaza kwenda mbinguni...Juzi nilikuwa kimara pale mwisho wa mwendokasi,Nilikuwa nanunua fenesi kwa wale wauzaji wa barabarani wanaopack kwenye vikopo.Mara ikaja V8 ikapaki akashuka mkuu wa wilaya kuja nilipo akaanza kumwambia yule muuza fenesi kuwa leo ni mwisho kesho asionekane pale.
Mbezi walibomokewa usiku wa manane Ila wamesharudi Tena,unadhani watakwenda wapi na njaa hiviMzee limepita tingatinga usiku wa manane..
Kwa hali ile hakuna machinga atathubutu kurudi tena pale..
Ni kweli na wewe unaanza upya?Acha tuanze upya...akili zetu zilisha adapt kwamba popote unaweza fanya biashara
Kwani ilifungwa?Nchi imefunguliwa.
Aisee Ndugu, jamaa wamewaumiza kupita maelezo. Kwa kweli sijui hata wanafanyaje sasa!Mleta mada, kilichotokea kwa wajariamali au wamachinga wa kimara kama ulivyosema,hawajabomoa wenyewe bali walibomolewa usiku wa maneno na ndani ya nusu saa hivi zoezi lilikuwa limekamilika.zoezi hili liliendeshwa na kikosi kazi maalumu cha jiji na wakitumia scavator au tingatinga lilokuwa na moja tu ya kuondoa kile kilichoagizwa kufanywa na wahusika.
Katika zoezi hilo,baadhi ya watu wachache sana waliwapa taarifa wenzao ambao baadhi yao waliokoa vitu vyao kulingana na umbali waliokuwepo kufika eneo la tukio lakini zaidi ya 90% ya wajasiriamali hao walipoteza mali zao na kurudishwa kwenye umasikini mwingine.
Katika zoezi hilo, yamesemekana mateja na watu wengine wamefaidika sana ubomoaji huo mfano siku chache zilizopita mtu mmoja aliweka kibanda cha simu ambacho nami nilikiona siku chache zilizopita,ajabu kapoteza kila kitu.kiufupi zoezi hili limewarudisha watu wa hali ya chini katika umasikini wa aina yake.
Wito wangu kwa mamlaka husika, serikali ingewaacha wavuja jasho hao,wanyonge kama wanavyoitwa au wamachinga kama mleta mada alivyosema,wakitafuta mkate wa kila siku kwa mantiki ya kupata pesa ya maandalizi ya kuwapa mahitaji ya msingi ya watoto wanaojiandaa kuingia darasa la kwanza na sekondari na pengine lingeanza mwezi match,2022 ambapo wazazi kama wazazi watakuwa wametimiza mahitaji hayo kwa vijana wao.
Warudi mikoani ardhi ya kulima ni nyingi mnoMbezi walibomokewa usiku wa manane Ila wamesharudi Tena,unadhani watakwenda wapi na njaa hivi
Nilipita alfajiri sa 12 nakuta watu wamelewa chakali wamechangamkia vinywaji vikali vilivyokua vinauzwa vibandani...waliambiwa wakaleta ubishiMzee limepita tingatinga usiku wa manane..
Kwa hali ile hakuna machinga atathubutu kurudi tena pale..
Wengine Ni wazaliwa wa huku mkuu mkoani wanaendaje,usiseme kwakuwa hayajakukuta,na hyo ardhi wanaipataje?? Na wanailima na Nini??Warudi mikoani ardhi ya kulima ni nyingi mno
Ipo siku.... Inauma sanaMleta mada, kilichotokea kwa wajariamali au wamachinga wa kimara kama ulivyosema,hawajabomoa wenyewe bali walibomolewa usiku wa maneno na ndani ya nusu saa hivi zoezi lilikuwa limekamilika.zoezi hili liliendeshwa na kikosi kazi maalumu cha jiji na wakitumia scavator au tingatinga lilokuwa na moja tu ya kuondoa kile kilichoagizwa kufanywa na wahusika.
Katika zoezi hilo,baadhi ya watu wachache sana waliwapa taarifa wenzao ambao baadhi yao waliokoa vitu vyao kulingana na umbali waliokuwepo kufika eneo la tukio lakini zaidi ya 90% ya wajasiriamali hao walipoteza mali zao na kurudishwa kwenye umasikini mwingine.
Katika zoezi hilo, yamesemekana mateja na watu wengine wamefaidika sana ubomoaji huo mfano siku chache zilizopita mtu mmoja aliweka kibanda cha simu ambacho nami nilikiona siku chache zilizopita,ajabu kapoteza kila kitu.kiufupi zoezi hili limewarudisha watu wa hali ya chini katika umasikini wa aina yake.
Wito wangu kwa mamlaka husika, serikali ingewaacha wavuja jasho hao,wanyonge kama wanavyoitwa au wamachinga kama mleta mada alivyosema,wakitafuta mkate wa kila siku kwa mantiki ya kupata pesa ya maandalizi ya kuwapa mahitaji ya msingi ya watoto wanaojiandaa kuingia darasa la kwanza na sekondari na pengine lingeanza mwezi match,2022 ambapo wazazi kama wazazi watakuwa wametimiza mahitaji hayo kwa vijana wao.
Kiukweli ndugu zetu wameumizwa pakubwa sana na ukizingatia tunakwenda nyakati mbaya za watu kupeleka watoto shule zetu za wanyonge na matokeo yake ndo hivi.busara zingetumika kuwavumilia kwa muda tu.Aisee Ndugu, jamaa wamewaumiza kupita maelezo. Kwa kweli sijui hata wanafanyaje sasa!
Kuna wajinga wamekariri kila aliyeko mjini basi katoka bush, wakati wao wenyewe utakuta wamezaliwa mjini na hata huko vijijini kwa mababu zao hawajawahi kanyaga.Wengine Ni wazaliwa wa huku mkuu mkoani wanaendaje,usiseme kwakuwa hayajakukuta,na hyo ardhi wanaipataje?? Na wanailima na Nini??
Utawavumilia hadi lini mkuu...hakuna siku inaunafuu, ni bora watu watii mamlaka wafungur biashara panaporuhusiwa...Kiukweli ndugu zetu wameumizwa pakubwa sana na ukizingatia tunakwenda nyakati mbaya za watu kupeleka watoto shule zetu za wanyonge na matokeo yake ndo hivi.busara zingetumika kuwavumilia kwa muda tu.