JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Dec 6, 2021 Thread starter #61 telegram said: Na serikali Click to expand... Kwani shida yenu nini!? Kama mabanda yanayofuga "wezi wanaowaibia wageni wenu" kama mnavyodai si mmeshayavunja! Sisi tunaopanga chini au kushika bidhaa mkononi tunawakera nini!?
telegram said: Na serikali Click to expand... Kwani shida yenu nini!? Kama mabanda yanayofuga "wezi wanaowaibia wageni wenu" kama mnavyodai si mmeshayavunja! Sisi tunaopanga chini au kushika bidhaa mkononi tunawakera nini!?
P Papaa pedeshee JF-Expert Member Joined Nov 7, 2021 Posts 274 Reaction score 394 Dec 7, 2021 #62 kasigazi kalungi said: Mnajua kusingizia kupeleka watoto shule wakati hata hayo majukumu hauyatimizi. Elimu ni bure siku hizi. Click to expand... Elimu kuwa bure haimaanishi hakuna mahitaji mengine ya msingi mf.sare za shule n.k
kasigazi kalungi said: Mnajua kusingizia kupeleka watoto shule wakati hata hayo majukumu hauyatimizi. Elimu ni bure siku hizi. Click to expand... Elimu kuwa bure haimaanishi hakuna mahitaji mengine ya msingi mf.sare za shule n.k