comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
- Thread starter
- #21
Nimeshangaa Sana kuona haya maishaMachinga wa Manhattan ni watu weusi huwezi kukuta mzungu anakimbizana na biashara za kuuza soksi mtaani...kuna haja gani ya kuishi nchi zenye idadi kubwa ya walalahoi kama marekani? Watu weusi wanaishi nchi za ulaya wako vizuri Sana kiuchumi kuliko Huko USA