Wamachinga wa kichina Kariakoo, tatizo ni mikataba ya Serikali ya Tanzania na China, Wale wachina wanalindwa

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Serikali inacheza na akili za wadanganyika wa hili Taifa. Swala la Wachina si kwamba Serikali haijui inajua sana ila inataka kuzuga inajali raia wake kipindi hiki cha uchaguzi.

Mashariti ya mikopo wanayo pewa na China ndio ina hivyo vipengele, na sio kwa Tanzania pekee ni kwa mataifa mengi hasa haya ya Africa yenye njaaa kari.

China kwenye mikopo yake hasa kwa Africa kuna kipengele cha kuhakikisha raia wake wanalindwa na kupewa kila aina ya usaidizi unao hitajika na pia wasisumbuliwe bila sababu za msingi.

Zambia hii iliwatokea sana, na Zambia kuna wachina sana sema sasa zingine wao wenyewe huamua kuondoka kwa kuona biashara ni ngumu.Zambia kuna wachina wanalima had mchivha wana wanapeleleka sokoni kuuza. wengine wanafuga Broiler kuku.

Wachina walio zagaa Kariakoo na kwingineko hadi vijijini huko na kwenye migodi hakuna kitu watafanywa, tusidanganyane, wale wanalindwa na mikataba ya mikopo tulio chukua China.

Njia pekee ya kufukuza nchini ni endapo watabainika kwa makosa ya jinai kama Ubakaji, kupiga, kuua, na biashara zingine haramu. Hapa unaweza wafukuza.

Ila swala sijui la Umachinga huwezi wafukuza na utakuwa unatafuta balaa kutoka China.

Sasa wasio jua wanadhania kweli Serikali iko makini kutaka kuwandoa wachina pale Kariakoo.

Jiulize Magu na Ubabe wake si aliwaacha? hakujua kwamba wapo?

Hizi ni hadaa za kampeni tu hakuna kitu wachina watafanywa pale kariakoo.
 
Ni kama umenitoa tongo tongo
 
Back
Top Bottom