Wamachinga wa Mwenge Vinyago kuondolewa

Wamachinga wa Mwenge Vinyago kuondolewa

Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.

Tutakuja ndugu waandishi hatuna shida vipi wamedai watawachapa viboko au itakuaje
 
Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Viongozi wenu wanataka kuwaondoa? KISA ni nini? Weka maelezo kamili.
 
Sasa kama wanatakiwa waache njia za watembea kwa miguu analalamika nini hapa?
Hawa machinga hawaeleweki akili zao. Pale kituo cha daladala Mwenge kuelekea Tegeta wamevamia na kujenga juu ya mtaro wa majitaka.

Sasa mauchafu na majitaka vimesimama na kuoza na kutoa harufu. Hawajali. Je tuendelee hivyo? PIA STENDI ZA KUANZIA HAPO MPAKA TEGETA KWA NDEVU KILA UPANDE NA SASA MPAKA BUNJU. HATUA ZINATAKIWA KUCHUKULIWA.
 
Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Inahitaji akili ya mwendawazimu ili kuweza kuwatetea wamachinga.

Nimeacha kwenda kariakoo kwa ajili yenu hakuna hata sehemu ya kupita, mnakera sana.
 
Back
Top Bottom