Wamachinga wa Mwenge Vinyago kuondolewa

Wamachinga wa Mwenge Vinyago kuondolewa

Inahitaji akili ya mwendawazimu ili kuweza kuwatetea wamachinga.

Nimeacha kwenda kariakoo kwa ajili yenu hakuna hata sehemu ya kupita, mnakera sana.
Wamevamia one way Dodoma watu tunapita kwa mstari kama tunaelekea kwenye mgao wa chakula
 
Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Lakini jamani hebu kuweni na tafakuri lile ni eneo rasmi la biashara ya vinyago ila kwasasa mmelizonga mpaka barabarani..hivi hii ni haki kweli?
 
Lakini jamani hebu kuweni na tafakuri lile ni eneo rasmi la biashara ya vinyago ila kwasasa mmelizonga mpaka barabarani..hivi hii ni haki kweli?
Unajaribu kuongea kwa busara na hawa watu? Wangekuwa na hata chembe za akili wangekubali kukaa pembezoni mwa barabara na kuharibu miundombinu? Mapuguani wahed!
 
Hakuna nchi ilijenga uchumi kwa kutegemea machinga, na hakuna nchi ilimaliza tatizo la ajira kwa kuendekeza wananchi wake wawe machinga na nchi hiyo kufikia uchumi wa juu itakua kazi kubwa
 
Back
Top Bottom