daudycharles
Member
- Feb 19, 2014
- 50
- 16
Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Kipindi cha nyuma hapo vinyago palikua bomba kweli mixer wazungu, sijui tulikosea wapi.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Viongozi wenu wanataka kuwaondoa? KISA ni nini? Weka maelezo kamili.Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Wanaotolewa ni wa pembezoni mwa barabarani tuNyie mko barabarani mnawaziba wauza vinyago. Tokeni tu aisee
Wamejiandaa kutembeza virungu vya ugoko tuTutakuja ndugu waandishi hatuna shida vipi wamedai watawachapa viboko au itakuaje
Wanaotolewa ni wa barabarani kweli
Ova
Hawa machinga hawaeleweki akili zao. Pale kituo cha daladala Mwenge kuelekea Tegeta wamevamia na kujenga juu ya mtaro wa majitaka.Sasa kama wanatakiwa waache njia za watembea kwa miguu analalamika nini hapa?
Wabongo tunaishi kwa mazoeaSasa kama wanatakiwa waache njia za watembea kwa miguu analalamika nini hapa?
Inahitaji akili ya mwendawazimu ili kuweza kuwatetea wamachinga.Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Mtoke hapo mwende manzeseKesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Wanaoondelewa ni wale wa pembezoni mwa barabara,mule ndani wako kama kawaKipindi cha nyuma hapo vinyago palikua bomba kweli mixer wazungu, sijui tulikosea wapi.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app