Muhunza Mgunya
Member
- Sep 9, 2021
- 5
- 7
DuuhKesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Si ndiyo hapo,maana sehemu za watembe kwa miguu wamejaa wao tuSasa kama wanatakiwa waache njia za watembea kwa miguu analalamika nini hapa?
Wamevamia one way Dodoma watu tunapita kwa mstari kama tunaelekea kwenye mgao wa chakulaInahitaji akili ya mwendawazimu ili kuweza kuwatetea wamachinga.
Nimeacha kwenda kariakoo kwa ajili yenu hakuna hata sehemu ya kupita, mnakera sana.
Lakini jamani hebu kuweni na tafakuri lile ni eneo rasmi la biashara ya vinyago ila kwasasa mmelizonga mpaka barabarani..hivi hii ni haki kweli?Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
Unajaribu kuongea kwa busara na hawa watu? Wangekuwa na hata chembe za akili wangekubali kukaa pembezoni mwa barabara na kuharibu miundombinu? Mapuguani wahed!Lakini jamani hebu kuweni na tafakuri lile ni eneo rasmi la biashara ya vinyago ila kwasasa mmelizonga mpaka barabarani..hivi hii ni haki kweli?
Sijaelewa. Ina maana hali siku hizi imebadilika?Kipindi cha nyuma hapo vinyago palikua bomba kweli mixer wazungu, sijui tulikosea wapi.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Hekima kwanza ndio muhimuUnajaribu kuongea kwa busara na hawa watu? Wangekuwa na hata chembe za akili wangekubali kukaa pembezoni mwa barabara na kuharibu miundombinu? Mapuguani wahed!
Meya wa Chadema ndiye aliyewakaribisha machinga kariakoo!Inahitaji akili ya mwendawazimu ili kuweza kuwatetea wamachinga.
Nimeacha kwenda kariakoo kwa ajili yenu hakuna hata sehemu ya kupita, mnakera sana.