Wamachinga waliozagaa pembezoni mwa barabara na sehemu zisizo rasmi katika miji mikubwa Tanzania waondolewe?

Wamachinga waliozagaa pembezoni mwa barabara na sehemu zisizo rasmi katika miji mikubwa Tanzania waondolewe?

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,175
Reaction score
4,299
Kumekuwa na wimbi kubwa la wamachinga kuzagaa pembezoni mwa barabara za magari na wapita kwa miguu na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hizo.

Hii ipo kwenye mikoa Kama

Dar es salaam

mwenge - ubungo
Ubungo-shekilango-manzese-magomeni
Kariakoo-karume-ilala-buguruni
Kariakoo-m/mmoja-akiba
Ubungo-riverside-mwananchi
Ubungo-kimara-mbezi
Tegeta-boko-bunju
Mbagala-uhasibu
Tandika-Davis corner-buza.

Arusha

Round about Florida-Stend ndogo-Total petrol station
Mianzini-klm express-stadium-standkuu
Round about njiro-soko la madin-clock tower-kona Nairobi-kona mbauda
Kona mbauda-morombo
Sanawari-moivo
Ngulelo-philips-mianzin-sakina-kwa idd

Dodoma

Makole-Stend zamani--nyerere square
Chako ni chako - nyerere square
Chako ni chako-Round about-area c
Chako ni chako-Round about-four ways

Mwanza
Kona kirumba - mwaloni -mzunguko
Mwaloni-magomeni-kirumba polisi-kitangiri
Mzunguko-salmakoni-mlango mmoja-buzuruga
Kirumba-sabasaba-ilemela
Mabatini-magufuli-butimba-nyegez

Tanga
Mabanda papa - stend 12road-mkwakwan

Moshi

Round about YMCA-double road-sokoni-chini ya mti

Shinyanga

Juction ya kambarage stadium-stand ya Mohammed trans-buluba sec-ngokolo
Stand mpya-sokoni-stand ya maganzo-jimbon-juction ya kambarage

Na maeneo mengine ndani ya nchii ambayo unayajua wewe.

Pia kwa watu wanaohusika na kuboresha maisha ya wajasiriamali kwenye halmashauri sio mbaya mkapita hapa na kuchukua Yale yanaofaa na kuboresha miji yetu na kukuza maendeleo ya wajasiriamali hao wadogo wadogo na wakubwa pia kwa kuzingatia pande zote
 
waache wapige kazi,tena wajipange mapema kunasiku watapigwa stop.
aiwezekani mazingira hayo yakawa endelevu itafika mwisho.
 
Halafu wakale wapi? Hujui kama wana familia zinawategemea?. Kama Machinga mpaka Mbele wapo sembuse Bongo!!!!.
 
MI sipigi kura yangu hapo maana mtaiba.
Tumechoka na wizi wa kura
 
Wale waliotoa kura kwa sababu ya kupanga bidhaa barabarani, kazi ipo
 
Waacheni wafanye kaz ndio maana. Wanavifurahia vitambulisho vya mjasiliamali maana vimewawezesha oufanya kaz zao bila bugdha
 
Njoo ushuhudie yanayofanyika barabara ya Nyerere Mwanza. Hii inaonyesha kama serikali haipo nchi hii. Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom