Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
- Thread starter
-
- #21
Wao hawana bugdha vipi wewe ukiwa unapita katika miji hiyo mikubwa unawachukuliajeWaacheni wafanye kaz ndio maana. Wanavifurahia vitambulisho vya mjasiliamali maana vimewawezesha oufanya kaz zao bila bugdha
Asante kwa kuchangiaAlafe waje kula KWA BABA AKO...
MI sipigi kura yangu hapo maana mtaiba.
Tumechoka na wizi wa kura
Kila halmashauri Ina maeneo husika kwa ajili ya watu Kama hao na njia nyingine ya kuwapunguza ni kuwaunganisha na waunganishe mitaji wale wenye Biashara inayofanana au hata kuwadevelop kwenye channel nyingine ya kuwekeza kile walichonachoKuna faida gani katika kuwaondoa? Umefikiria juu ya athari zake pia?
Kila halmashauri Ina maeneo husika kwa ajili ya watu Kama hao na njia nyingine ya kuwapunguza ni kuwaunganisha na waunganishe mitaji wale wenye Biashara inayofanana au hata kuwadevelop kwenye channel nyingine ya kuwekeza kile walichonachoWakifukuzwa kutatokea wimbi kubwa sana la wizi na majambazi, kuna watu pasipo hizo biashara familia zao zitakula police!!
Ni hatari inayoepukika kabisa mie naona machinga wapewe elimu ya umuhimu wa kuwa na nguvu kipesa Yan waunganishe mitaji instead of having Tsh.100 kwa watu 20 Bora kuunganishwa Hawa 20 na watakuwa na purchasing power na kupunguza cost zingine ambazo zitakuwa n jumuishi nahuo ndo utakuwa mwanzo Bora wa kutengeneza mamilionea Kuna kampuni Kama Coca-Cola PepsiCo Nestlè Uniliver Bidco bakhresa METL infotech group zote hizi n group of companies Yan nguvu yao yakipesa hutokana na kuunganishwa kwa kampuni ndogondogo wanazozimiliki moja kwa moja au kupitia kwa au sehemu ya asilimia kiasiUtaratibu wa barabara, kuna sehemu ya kupita magari na sehemu ya waenda kwa miguu.
Machinga wamevamia kuanzia sehemu ya waenda kwa miguu hadi barabarani. Na kupelekea watu kupishana na magari sehemu finyu sana, tuache siasa, hili suala ni hatari sana kwa maisha ya watumuao barabara na machinga wenyewe. Siku gari iki fail brake sipati picha nini kitatokea
Sina uhakika mods washafanya yaoUnauhakika sijapiga Kurt?
Ni hatari inayoepukika kabisa mie naona machinga wapewe elimu ya umuhimu wa kuwa na nguvu kipesa Yan waunganishe mitaji instead of having Tsh.100 kwa watu 20 Bora kuunganishwa Hawa 20 na watakuwa na purchasing power na kupunguza cost zingine ambazo zitakuwa n jumuishi nahuo ndo utakuwa mwanzo Bora wa kutengeneza mamilionea Kuna kampuni Kama Coca-Cola PepsiCo Nestlè Uniliver Bidco bakhresa METL infotech group zote hizi n group of companies Yan nguvu yao yakipesa hutokana na kuunganishwa kwa kampuni ndogondogo wanazozimiliki moja kwa moja au kupitia kwa au sehemu ya asilimia kiasi
Dah nakumbuka dart bus za mwendo kasi wakati wanajenga barabara pembeni waliweka mitaro mikubwa kishenzi ilikuwa misafiii,sasa hivi kumejaa ma lailoni kibao chinga wakifungua mzigo laiolon na mabox wanatia kwenye mitaro.Waondolewe mara moja....ni chanzo cha miji kuwa michafu....kwakifupi wamachinga ndio wachafuzi wa mazingira
Wale walioweka biashara zao juu ya mifereji ya maji na kusababisha kuziba kwa mifereji hiyo, waondolewe. Haina maana serikali kujenga miundombinu ya kupunguza mafuriko halafu machinga wajenge juu yake. Sehemu nyingine waache wafannye biashara ila sio juu ya mitaro.Waondolewe mara moja....ni chanzo cha miji kuwa michafu....kwakifupi wamachinga ndio wachafuzi wa mazingira
Ule mwendo wa viwanda ungeenda sambamba na kuunganishwa kwa mitaji kwa wajasiriamali wadogo wadogo mfano kuliko kwenda kariakoo wakanunue mzigo kwa wholesaler n Bora wanajichanga hao kadhaa na wanaagiza kwa mzalishaji sababu mzigo utakuwa mkubwa lazima wawe na sehemu ya uhakika ya kufanyia Biashara na kuhifadhi mzigoWazo la kufanyiwa kazi sana hilo mkuu , wamachinga wamekwama
wanahitaji kuratibiwa waingie mfumo bora rasmi hasa wa viwanda kwani inawezekana , na wa kusaidia ni sisi .