Wamagharibi kumbe kweli walikubaliana na Urusi kutoongeza Wanachama wa NATO kuelekea Mashariki, gazeti laibua ushahidi

Wamagharibi kumbe kweli walikubaliana na Urusi kutoongeza Wanachama wa NATO kuelekea Mashariki, gazeti laibua ushahidi

Walikubaliana kwa namna gani?

Je, kuna uwepo wa mkataba wowote au makubaliano ya kisheria ambayo yalifanyika yaliyoweka hakikisho kuwa NATO haitopaswa kuongeza wanachama kuelekea mashariki hasa katika mataifa yaliyokuwa ndani ya USSR?

Kama huo mkataba upo, ni vyema ukawekwa hadharani, likiwemo jina pia la mkataba huo tafadhali! Asante!
Mkataba upo, we ingia mitandaoni uchungulie! Urusi sio mpuuzi, kiasi kwamba alete madai ambayo hayajaandikwa popote. Mkutano wa Macron na Putin, Macron alikumbushwa makubaliano ya mwaka 1991 kati ya Urusi na nchi za Ulaya Magharibi, kutoongeza wanachama wa NATO kutoka nchi za iliyokuwa Umoja wa Soviet
 
Mbona tunajisahaulisha chanzo cha Cold War kilikuwa nini. Wasovieti walipopeleka makombora ya nyuklia pale Cuba Marekani ilicharuka ikatuma meli za kivita, ikaweka naval blockade kwa Cuba na ikatoa demand makombora yaondolewe. Wakati huohuo Marekani ina makombora Ulaya Mashariki, ikabidi pande zote mbili ziyaondoe.

Sababu za vita ya Georgia ni kama hizi za Ukraine. Kilichotokea Georgia ni Southern Ossetia na Abkhazia na kilichotokea Ukraine ni separatists wa Donbass region. Ukraine hana sababu ya kuwafia NATO na Marekani, aachane na mpango wa kujiunga nao maana ndio hivyo miaka 8 ana vita na msaada hautoshelezi. Mbona Finland inapakana na Urusi na iko peaceful miaka yote tangu Cold war, tena hiyo iliwahi vamiwa na USSR kwenye WW2
 
Mkataba upo, we ingia mitandaoni uchungulie! Urusi sio mpuuzi, kiasi kwamba alete madai ambayo hayajaandikwa popote. Mkutano wa Macron na Putin, Macron alikumbushwa makubaliano ya mwaka 1991 kati ya Urusi na nchi za Ulaya Magharibi, kutoongeza wanachama wa NATO kutoka nchi za iliyokuwa Umoja wa Soviet
Achana nae huyo huwa anabishana na radio
 
Kumbe Nchi za Magharibi walikubaliana na Urusi kuwa hawata utanua umaja wa kujihami wa nchi hizo,yaani NATO.​

Lakini kumbe kwa Hila zao za kutaka kuizunguka kijeshi Urusi wakaendelea kujiunga nchi nyingine katika umoja huo.
Urusi ilikua mstahamilifu na mvumilivu.waliziunga nchi kama Poland,Estonia na nchi nyingine.
Urusi ikawakumbusha lakini wakaiona kama hamnazo.

Sasa wakataka kujiunga Ukraine,Ukraine ni mpaka mkubwa na Urusi.
Kama Ukraine ikijiunga na NATO maana yake ni kuwa Marekani itakua na uwezo wa kuchungulia ndani kabisa ya Urusi na kujua Nini kinafanyika huko.

Pia kama ikitokea vita Itakua rahisi kwa Marekani kuishambulia Urusi kutoka Ukraine.

Wasiwasi ndio akili huwezi kujua kesho ama keshokutwa nini kitatokea kuhusu uhasama kati ya Marekani na Urusi.Ulinzi wa taifa ni kuwa macho masala ishirini na nne.Urusi wameshitukia mchezo mchafu wa Marekani na ndio maana wemegeuka mbogo.kwenye ulinzi wa mipaka kama zilivyo nchi zote,Urusi hacheki na hatanii Yuko tayari kuingia vitamin na nchi yoyote na inakuja Haina maana kumiliki masilaha mazitomazito kama Kuna mtu atachezea mipaka au usalama wake.

Sasa Kuna gazeti/ jarida moja limefukunyua na kugundua kuwa ni kweli makubaliano baina ya nchi za Marekani,ufaransa na uingereza pamoja na Urusi kuwa NATO isiendelee kujitanua kuelekea Urusi. Hivyo Urusi ilidanganywa kuwa hawatajitanua lakini wamejitanua.

Nimekuwekea bandiko hapo chini ujisomee mwenyewe.

West promised not to expand NATO – Der Spiegel​

NATO deceived Russia about expansion and a British document proves it, top German weekly discovers
West promised not to expand NATO – Der Spiegel

The flags of member countries of North Atlantic Treaty Organization are seen at the Headquarter of NATO in Brussels, Belgium, February 17, 2022 © Dursun Aydemir / Anadolu Agency via Getty Images

A newly discovered document from March 1991 shows US, UK, French, and German officials discussing a pledge made to Moscow that NATO would not expand to Poland and beyond. Its publication by the German magazine Der Spiegel on Friday comes as expansion of the US-led bloc has led to a military standoff in Eastern Europe.

The minutes of a March 6, 1991 meeting in Bonn between political directors of the foreign ministries of the US, UK, France, and Germany contain multiple references to “2+4” talks on German unification in which the Western officials made it “clear” to the Soviet Union that NATO would not push into territory east of Germany.
“We made it clear to the Soviet Union – in the 2+4 talks, as well as in other negotiations – that we do not intend to benefit from the withdrawal of Soviet troops from Eastern Europe,” the document quotes US Assistant Secretary of State for Europe and Canada Raymond Seitz.

“NATO should not expand to the east, either officially or unofficially,” Seitz added.

A British representative also mentions the existence of a “general agreement” that membership of NATO for eastern European countries is “unacceptable.”
“We had made it clear during the 2+4 negotiations that we would not extend NATO beyond the Elbe [sic],”
said West German diplomat Juergen Hrobog. “We could not therefore offer Poland and others membership in NATO.”
RT

Screenshot of the minutes of a March 6, 1991 meeting of US, UK, French and German diplomats discussing NATO and Eastern Europe © screenshot via Kommersant
The minutes later clarified he was referring to the Oder River, the boundary between East Germany and Poland. Hrobog further noted that West German Chancellor Helmut Kohl and Foreign Minister Hans-Dietrich Genscher had agreed with this position as well.
The document was found in the UK National Archives by Joshua Shifrinson, a political science professor at Boston University in the US. It had been marked “Secret” but was declassified at some point.
Shifrinson tweeted on Friday he was “honored” to work with Der Spiegel on the document showing that “Western diplomats believed they had indeed made a NATO non-enlargement pledge.”

“Senior policymakers deny a non-expansion pledge was offered. This new document shows otherwise,”
Shifrinson said in a follow-up tweet,
Hakuna makubaliano hayo, hicho ulichokopi siyo makubalian. Niliwahi kuleta hapa transcripts zinazoonyesha jinsi ambavyo Yelstin alivyokuwa anamuomba Clinton atamke kuwa NATO haitapanuka kwa sababu alikuwa anataka kuwapooza warusi waliokuwa wanaogopa NATO, lakini hakukubaliwa. Soma maongezi yao yote kwenye transcripts hizi.

Ukweli unaomsumbua Putin nia huu uliotamkwa kwa makini na na huyu mama wa kihindi

Attachments

Jf ni kijiwe cha uwongona uwongo huo unapendwa sana kwasababu unafurahisha mioyo ya wengi.
 
Mkataba upo, we ingia mitandaoni uchungulie! Urusi sio mpuuzi, kiasi kwamba alete madai ambayo hayajaandikwa popote. Mkutano wa Macron na Putin, Macron alikumbushwa makubaliano ya mwaka 1991 kati ya Urusi na nchi za Ulaya Magharibi, kutoongeza wanachama wa NATO kutoka nchi za iliyokuwa Umoja wa Soviet
Mkataba upo wapi?

Sihitaji kwenda mitandaoni kuchungulia. Anayesema mkataba upo auweke hapa na tarehe ambayo mkataba huo ulisainiwa. Mbona mikataba mingine kati ya Marekani/nchi za magharibi na Urusi inafahamika hadharani? Huo mkataba mmoja tu uko wapi?

Urusi imeibua madai ambayo hayapo kimkataba! Kama mkataba upo, ungekwisha wekwa hadharani kama uthibitisho na sio kusema tu kwamba wamekubaliana. Hayo madai yameandikwa wapi kimkataba?
 
Kasome " The Minsk Agreement II". Kuna details humo za kuondoa vita kati ya Ukraine na Urusi
 
Kasome " The Minsk Agreement II". Kuna details humo za kuondoa vita kati ya Ukraine na Urusi
Hayo ni makubaliano ya kumaliza mapigano yaliyopo tangu mwaka 2014 mashariki mwa Ukraine. Hayo sio makubaliano kuhusu NATO kutopaswa kuongeza wanachama kuelekea mashariki mwa Ulaya.

Nilichohitaji ni mkataba kati ya NATO na Urusi unaohusu NATO kutopaswa kuongeza wanachama katika jumuiya hiyo kutoka katika mataifa ya Ulaya Mashariki hasa mataifa yaliyokuwa miongoni mwa USSR.
 
Kasome " The Minsk Agreement II". Kuna details humo za kuondoa vita kati ya Ukraine na Urusi
wewe unazungumza maongezi ya mwaka 2015 baada ya Urusi kuvamia crimea. Tafuta historia kamili baada ya USSR kuvunjika na jinsi Ukraine ilivyokubali kuwapa urusi silaha zake za Nuklia
 
Hakuna makubaliano kama hayo, ni uongo mtupu.
 
wewe unazungumza maongezi ya mwaka 2015 baada ya Urusi kuvamia crimea. Tafuta historia kamili baada ya USSR kuvunjika na jinsi Ukraine ilivyokubali kuwapa urusi silaha zake za Nuklia
Urusi akarithi mali zote za iliyokuwa USSR zikiwemo balozi,na madeni yote . Ukraine akataka kuwe na mgawanyo.
 
Mwanzo sikujua ila baadae nimejua kumbe Russia ni mpinzani wa Jamii za kishetani, vita hii ataumia sana lakini mwishoni kabisa atashinda na ndipo ataanzisha uamsho.
 
Mbona kuna mabaunsa wanatembea na mke wako mwenye cheti cha ndoa na hujawafanya chochote?
Mtafute mke wa mtu tembea naye kisha mwenye akukute halafu umwambie hana cheti cha ndoa uone kama utabaki na marinda.
 
Urusi akarithi mali zote za iliyokuwa USSR zikiwemo balozi,na madeni yote . Ukraine akataka kuwe na mgawanyo.
Siyo kweli; soma historia . Kila republic ilirithi mali na madeni yaliyokuwa kwenye ardhi yake. Ukraine ilirithi silaha nyingi sana za Nuclear, lakini ikazikataa, ndipo zikachukuliwa na Urusi. Vile vile Ukraine ilirithi jeshi kubwa sana isipokuwa baadhi ya wanajeshi wakaamua kujiondoa na kurudi urusi. Kazakhstan ilirithi maroketi ya kwenda anga za juu, ingawa urusi imekuwa bado inayatumiwa kwa kuwalipa. Balozi ziligawanywa kulingana na ni Bbalozi aliyekuwapo wakati huo. Kwa mfano, iwapo Barozi wa Urusi Tanzania alikuwa anatoka Belarus, basi Balarus ndio waliobaki na ubalozi huo, japo kwa makubalino waliewaza pia kubadilishana na republic nyingine. Kwa hiyo balozi zote zilizochukuliwa na urusi ilikuwa ni kwa makubaliano na republic husika.
 
Back
Top Bottom